Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pressing has been impressive but I just don’t understand.
Utd defence is there to capitalise with FULL! pressing cos of their poor midfield support,Not half pressing.

ESR and Partey have been losing unnecessary Posession. Laca has to come on to make the hardwork pressing fruitful with a link up play. Odergaard is not offering enough .

Come on Arsenal!
This game is there for us to take it.
U take it kwa timu gani uliyo nayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arteta ni coach wa middle teams but when he faces big teams you know what will happen Arsenal haina coach jamani trust me nasubiria wachambuzi uchwara ambao every day wanamtetea Arteta muda huu wamepotea
 
Mimi SiO fan wa arteta, amerostisha wengi wanataka kuondoka January, eg leno, Mari cedric, laca, Pepe. Na hii game ilimfaa sana Pepe at half time. Yameishakuwa Ngoja tueendelee kuuguza maumivu, after all this december, we all know how we fare during this period.
Fukuzeni wachezaji wote, hamna timu nyie kenge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Team ina lukonga harafu kiongozi arteta hayo mtumaini ya kupataga hata draw mnayatoleaga wapi?
 
Mnapaswa kusajili kwanza ndio mje mcheze na kosi la dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Manyua sio kosi bora, ni team iliyoamua tu kujitutumua na kushinda hii game. Tatizo la Arsenal ni kaliba ya mwalimu na uwezo wake mdogo. Hana jipya na hawezi kuja kuifanya Arsenal iwe team kubwa.

Kuna mabadiliko ya lazima Arsenal nayo ni kuacha uninga wa kukaa na Mwalimu muda mrefu tena asiye na uwezo kwa kuamini juu ya kuvumilia mambo yatabadilika. Hayawezi kubadilika, liva walipoamua kujipambanua walivuta Kloop leo hata akinunua Jota, Mane toka team ndogo baada ya Muda wanakuwa wachezaji wa kubwa, huo ni uwezo wa mwalimu kuwa o goza wachezaji kufikia maximum potential zao. Arteta hana huo uwezo.
 
Kwahiyo Arsenal ni bora kuliko Man Utd?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom