Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ndio hata kama upo vibaya kiasi gani, unashindwa hata kutoa sare against those big 4?
Leo hana excuse na ninaamini hata wale ambao bado wanaimani nae wataanza kumgeuka taratibu if he will not get positive results today if he wins today hata sisi ambao bado tunaona hawezi kuipeleka mbele Arsenal kimafanikio we will start to support him slow by slow
 
Fiorentina president Commisso: “I don’t know if Juventus are able to sign Vlahovic in January. But I wanna say to Juventus or Arsenal that we [Fiorentina] are the ‘owners’ of Vlahovic. They should open talks with us - not with his agents”, he told Radiotutticonvocati. 🟣 #Juve #AFC

Fabrizio Romano

Inaonekana tunaweza kumchukua huyu dogo endapo tukiweka dau la kushawishi
Hawezi kuja team ambayo hata Europa inashindwa kushiriki ikiwa ndoto yake tu kucheza ligi ya mabingwa
 
Kosi la dunia

My Take: 3-1
Screenshot_20211202-201829.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matokeo yoyote ya leo hayatatushusha pale tulipo ila tukishinda tunakua kwenye nafasi nzuri kupimana msuli na West Ham juu ya nani anatakiwa kua pale namba nne.
Ni vizuri kushinda, naona spurs ana pointi 19 na michezo 12, sisi tunaenda kucheza game ya 14 tukiwa na point 23, spurs akishinda kiporo chake ana 22.
 
Teta ameamua kuwa too defensive

Hii inaweza kuwapa nafasi sana za kutusymbua hawa Mbwa koko
 
Tushinde tu kwakwel Kesho itakuwa nzurii Sana tukishinda
 
Back
Top Bottom