Mkuu kivipi me mbna naona tumeingia na approach ya kushambulia.Teta ameamua kuwa too defensive
Hii inaweza kuwapa nafasi sana za kutusymbua hawa Mbwa koko
Hope iwe hivyo na tupige hawa kenge madoadoaMcTominay+Fred Vs Partey + El neny.
ESR Vs Telles
Martinielli Vs Dallot
Hapa ndipo tulipoimaliza mechi.
Fiorentina president Commisso: “I don’t know if Juventus are able to sign Vlahovic in January. But I wanna say to Juventus or Arsenal that we [Fiorentina] are the ‘owners’ of Vlahovic. They should open talks with us - not with his agents”, he told Radiotutticonvocati.🟣 #Juve #AFC
Fabrizio Romano
Inaonekana tunaweza kumchukua huyu dogo endapo tukiweka dau la kushawishi
Ingia hesgoal mkuu.Link plz
TEAM NEWS
Nuno keeps his place
Elneny in midfield
Martinelli starts
Mimi pia mkuu.Nimefurahishwa sana na uwepo wa Elneny kwenye midfield
Nakumbuka kuna game ya United last season Elneny alipiga mwingi sana pale katikati, nina imani atafanya vizuri siku ya leo piaNimefurahishwa sana na uwepo wa Elneny kwenye midfield
Ingia hesgoal mkuuJaman Kama kuna Mt ana link au Apps ya kuangalizia kwenye SIM atutajie maana wengine tupo maporini
Shukran bossIngia hesgoal mkuu
4 4 1 1 siyo defensive kama wingers wana pace na skills.Teta ameamua kuwa too defensive
Hii inaweza kuwapa nafasi sana za kutusymbua hawa Mbwa koko
KamweneShukran boss