Noma sana kwenda half time bila goli. Sunderland wamenitupa uhuru sema sie wenyewe tumeshindwa kutumia nafasi zetu na tunaweza kujuta.
45 mins to go.........
Bundi leo lazima atue Emirata....
...worry you not mkuu, kuna kajitabia ka wachezaji wetu kulemaa halafu wana chase the game,...wakishafungwa wanapata wake up call, tatizo mazoea mabaya...kuna team wakishafunga moja wana "park-a-bus" golini kwao.
Arsene Wenger kaanza na 4-5-1, ...sijui kusudio lake lilikuwa nini, ...I hope 2nd half tutaona mabadiliko/matunda ya 1st half formation... it's a Roller Coaster maazee, lets enjoy the ride.
...'tick-tok-tick'...keep on counting Navoyne 🙂
...e bana wee, hizo dua zako hizoo?...! ha ha ha
Ukiangalia timu ya leo si ya kucheza na Barcelona, Arsenal inabidi waongeze kasi ya mchezo.
Labda mzee Wenger amewaambia wasicheze sana.
What's happening to Abou Diaby football Skills, God Knows....🙁
Ukiangalia timu ya leo si ya kucheza na Barcelona, Arsenal inabidi waongeze kasi ya mchezo.
Labda mzee Wenger amewaambia wasicheze sana.
Kinachoboa mkuu timu yetu hipo so relaxed, hatujui ku-push for a win. Wako wako tu kama hawana malengo yoyote.
Wasicheze sana kivipi mkuu? Manake hii game ni muhimu kuliko ya Barcelona jinsi ninavyoona mimi.
Hawa wachezaji wanaoletwa kunapotokea majeruhi wanatakiwa wa step up wamezidi ku-relax. Hawachukulii kama ndio nafasi yao ya ku-shine hili wamsumbue Wenger akili kwenye kupanga list. Wameridhika na kuwa bench labda.
Damn, huyu dogo 'Welbeck' toka Man United nuksi!