Hapa leo ni kuomba Denilson na Lidiaby wawe na good game....hasa li diaby.... Koz mapeeeema Denilson keshaanza kutoa pasi famba.....najua Mrusi, Nasri and the Big Nick wanaweza kututoa pale mbele.....kila la kheri wenzangu.....
Bado jinamizi la CC halijawatoka hawa vijana....great effort to win the ball n finally winz but at last pasi mbovu kabisa....so far golie anajitahidi sana.....
Inaonekana wazi Fabregas anakosekana na timu zote zinacheza mtindo wa 4-2-3-1 lakini ni mtindo wa kutegeana na endapo timu moja itapata goli basi linaweza likawa ndio hilihilo.
Andrey Arshavin alitakiwa asipige sana mipira ya cross bali kuingia mwenyewe ndani ya back four ya Sunderland.