Spurs ukiangalia game vs Leeds wamestruggle cuz wanakosa watu muhimu kwenye build up phases, hata Burnley sidhani kama watawaacha salama.Wazee, kama Mikel Arteta akizichanga karata vizuri kwenye game nne zijazo basi vita ya nafasi ya nne inabaki kati ya Arsenal na West ham. United wapo vibaya sana, ndani ya game mbili zijazo vs Chelsea & Arsenal watapoteza kabisa uelekeo wa Top four.
nne kulipa denijamani kesho tupo na newcastle mapema tu tutajipgia ngap ?
Musondaokonko
Sent using motorola 78
ha haaaaa itapendeza zaidinne kulipa deni
Spurs wametolewa conference league au bado wapo?Spurs ukiangalia game vs Leeds wamestruggle cuz wanakosa watu muhimu kwenye build up phases, hata Burnley sidhani kama watawaacha salama.
bado wapoSpurs wametolewa conference league au bado wapo?
Tatizo halikua Pochettino, Mourinho wala Santo tatizo ni spursbado wapo
Andika vizuri.albumyang
Sent using motorola 78
wana tatizo gan mbna wana wachezaj wazur tuTatizo halikua Pochettino, Mourinho wala Santo tatizo ni spurs
Wachezaji wanaweza kua wazuri ila wakawa hawawezi kucheza kama timu.wana tatizo gan mbna wana wachezaj wazur tu
Arsenal ya arteta ipo serious na inachokifanya
Kufungwa na big match coz tuna young players wengi ambao wengi wao ni unexperience
Ila hizi average team, Newcastle, man u, Everton nk watachezea mvua za kutosha t
Vijana wakapambame tupate ushindi Jioni ya leoLeo vijana wa Arteta wapo uwanjani saa 9:30
Wanaenda kuchezea dudu leo.Leo vijana wa Arteta wapo uwanjani saa 9:30