Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kusema kweli nilijua tutafungwa île game ya juzi ila sikutarajia kama tutapigwa nyingi vile .. Cha msingi tuzidi kupambana tuna timu nzuri tu japo mapungufu bado ni mengi..
 
Kusema kweli nilijua tutafungwa île game ya juzi ila sikutarajia kama tutapigwa nyingi vile .. Cha msingi tuzidi kupambana tuna timu nzuri tu japo mapungufu bado ni mengi..
United ambayo ina wachezaji wenye uzoefu kutuzidi amekula tano pale.
 
United ambayo ina wachezaji wenye uzoefu kutuzidi amekula tano pale.
Yaani wanasikitisha sana hawa man
u.. Hivi kweli timu ina pogba, Bruno fernandes na Ronaldo juu halafu bado wananafungwa vile... Yule mmasai atawashusha daraja wallah !.. 0
 
Yaani wanasikitisha sana hawa man
u.. Hivi kweli timu ina pogba, Bruno fernandes na Ronaldo juu halafu bado wananafungwa vile... Yule mmasai atawashusha daraja wallah !.. 0
Mmasai kafukuzwa. Sasa hivi ni unemployed.
 
Yaaap
 
Hiyo nilikuwa sijajua !.. Kama kawaida yao man u hawajuagi kutafuta makocha wa maana.. Ngoja tuone kama watapatia safari hii
Even Arsenal wanatakiwa kufind new coach that's why timu ipo ipo tu wakikutana na big teams ,they conceded a lot of goals sababu ya mbinu za Arteta
 
Mashabiki wa hii timu wana matatizo.

Kuna chansi kubwa timu yako kushika nafasi ya 13 baada ya game week 13 yet umekusanya nguvu za kuscreenshot huo msimamo na kuutuma hapa.

Katika saikolojia hua inakua kwamba mwanamke anayenyanyaswa hua ana moments zinazoitwa 'small victories' ambazo anazitreasure na kutamani zitokee mara nyingi.

Mfano akisikia mumewe mnyanyasaji amefumaniwa au simu ya mumewe imeingia chooni hua inampa ahueni kudhani kuna unseen entity inampambania pia.

Having said that mi naamini ARV ni mwanamke notice wenzake wanaona aibu wamejikausha isipokua yeye ameamua kukamata hii fursa ya 'small victories' pia sijamaanisha kama ni dhambi kua mwanamke. Enjoy sis.
 
Performance ya Chelsea tunayoiona ni fire fire and this came kwa sababu ya board iliyo serious na football Arsenal kuja kubeba EPL na Champions league hatutakuwa duniani tutakuwa tushakufa wote katika dunia hii you can't imagine Arsenal and Chelsea in December 2020,they were similar hakukuwa na utofauti mkubwa kati ya Lampard and Arteta but now on kuna tofauti kubwa ya Arteta na Tuchel kama Mbingu na Ardhi
 
 
FACT
 
Wazee, kama Mikel Arteta akizichanga karata vizuri kwenye game nne zijazo basi vita ya nafasi ya nne inabaki kati ya Arsenal na West ham. United wapo vibaya sana, ndani ya game mbili zijazo vs Chelsea & Arsenal watapoteza kabisa uelekeo wa Top four.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…