Hakuna tatizo mzee, itakuwa nilikuelewa tofauti.Ananiumbua na nini?
Kwanini mnafosi kwamba mimi nimesema Aaron kiwango kidogo?
Day one ananunuliwa hoja yangu ilikua jamaa ni overpriced.
Ukaja ukasema ni mzuri kuliko Leno. Nikajibu (Na mara zote najibu hivyo) ana communication nzuri ila kwenye shot stopping hajamfikia Leno.
Mnakomaa ishu ambazo sijazisema. Now kama mnawish niseme hivyo semeni I will gladly oblige.
Ebwanaaa eeeee acha kutalk shit that's why Arsenal inaonekana timu ya wajinga hivi kwa akili timamu mtu unakaa unasimamisha shingo na unasema Holding ni defender?let's be honest kwa Big team kama Arsenal haitakiwi kuwa na players kama Holding eti ndio defender wa kutegemewa players kama Nketiah Holding Elneny Saed hawatakiwi kukaa hata benchi imagine wamekuja watoto kama Saka na Smith Row ndani ya Muda mfupi wamekuwa tegemeo and think Mari alivyochomesha games kibao za Arsenal za ligi na friendly then you stand and say naye ni beki?Wewe jamaa unashindwa kutetea hoja yako. Kwahiyo Holding anakuwa average pale anapopangwa na pablo mari pekee? Mkuu kwenye mpira kuna partner huwa zinakubali na kuna partner huwa zinakataa kumatch hii ni kulingana na aina ya wachezaji na uchezaji wao kulingana na mahitaji ya mwl.kwenye mechi husika.
Luiz alikuwa anafanya vzr akiwa na Holding ndo maana mechi nyingi walikuwa wanapangwa pamoja na hapo Gabriel alikuwa anasubili bench na kwa aina ya uchezaji wa pablo Mari huwezi kuwaweka pamoja na Gabriel wakafanya vzr kwa kuwa uchezaji wao unafana yaan sio watu wa speed ila wanajua kukaba kwenye njia alafu wako tough na wote ni left footie lkn pia kazi inayofanywa na Gabriel akiwa na White ndio ilikuwa inafanywa na Holding akiwa na Luiz. Sasa mimi naomba nikuulize km msimu jana na juzi kipindi ambacho Gabriel alikuwa anawekwa bench je alikuwa ni average player??
kunya bogaEbwanaaa eeeee acha kutalk shit that's why Arsenal inaonekana timu ya wajinga hivi kwa akili timamu mtu unakaa unasimamisha shingo na unasema Holding ni defender?let's be honest kwa Big team kama Arsenal haitakiwi kuwa na players kama Holding eti ndio defender wa kutegemewa players kama Nketiah Holding Elneny Saed hawatakiwi kukaa hata benchi imagine wamekuja watoto kama Saka na Smith Row ndani ya Muda mfupi wamekuwa tegemeo and think Mari alivyochomesha games kibao za Arsenal za ligi na friendly then you stand and say naye ni beki?
Computer uko on board au la? Hebu clear doubts ili dark moments zikija tuwe tunaelewana.Ebwanaaa eeeee acha kutalk shit that's why Arsenal inaonekana timu ya wajinga hivi kwa akili timamu mtu unakaa unasimamisha shingo na unasema Holding ni defender?let's be honest kwa Big team kama Arsenal haitakiwi kuwa na players kama Holding eti ndio defender wa kutegemewa players kama Nketiah Holding Elneny Saed hawatakiwi kukaa hata benchi imagine wamekuja watoto kama Saka na Smith Row ndani ya Muda mfupi wamekuwa tegemeo and think Mari alivyochomesha games kibao za Arsenal za ligi na friendly then you stand and say naye ni beki?
Mkuu najua ujinga sio sifa mbaya ila nadhani ungeonyesha ujinga wangu kwa kufanya analysis za holding na pablo mari kuwa average player kisha uhusanishe na nafasi wanazocheza. Alafu mwisho njoo na hitimisho la kichezaji ili watu tukuelewe na mimi nonekane kweli mjinga vinginevyo unatakiwa ufanyiwe mental examination ili tujue mental status yako maana yaweza kuwa una mental illnessEbwanaaa eeeee acha kutalk shit that's why Arsenal inaonekana timu ya wajinga hivi kwa akili timamu mtu unakaa unasimamisha shingo na unasema Holding ni defender?let's be honest kwa Big team kama Arsenal haitakiwi kuwa na players kama Holding eti ndio defender wa kutegemewa players kama Nketiah Holding Elneny Saed hawatakiwi kukaa hata benchi imagine wamekuja watoto kama Saka na Smith Row ndani ya Muda mfupi wamekuwa tegemeo and think Mari alivyochomesha games kibao za Arsenal za ligi na friendly then you stand and say naye ni beki?
Who is milango mitatu?I don't know him or her,let me tell you one thing kwa akili ya kawaida unataka kusema Holding Mari and others ambao nimewamention hapo awali wanastahili kuchezea big team kama Arsenal?think kisha jibu ,hao wachezaji wanatakiwa wachezee Newcastle Norwich Leeds huko ila kama unataka kuqualify top 4 au kuwa bingwa kabisa hao sio wachezaji wa kusema watakupa ubingwa wa EPL katika mechi 38 and that's why Arsenal imeishia kuwa average team sababu ya kuwa na average players sababu unasema ohh alikuwa anacheza vizuri akiwa na Luiz but wametupa matokeo ya aina gani?miaka yote ya kuichezea Arsenal EPL wameoffer nini?tatizo hao wachezaji hawana consistency ukiangalia Chelsea Liverpool Manchester City wanagombania EPL sababu ya kuwa na wachezaji wenye consistency ukianzia golini hadi kwa forwards wao hvyo ni muda wa Arsenal kuachana na players kama hao iweze kufanikiwa that's itkunya boga
Kila mtu anaruhusiwa kutoa maoni yake.
nahisi wewe ni yule jamaa alikuwa anajiita MILANGOMITATU
unajua john stone bado yuko man u?Who is milango mitatu?I don't know him or her,let me tell you one thing kwa akili ya kawaida unataka kusema Holding Mari and others ambao nimewamention hapo awali wanastahili kuchezea big team kama Arsenal?think kisha jibu ,hao wachezaji wanatakiwa wachezee Newcastle Norwich Leeds huko ila kama unataka kuqualify top 4 au kuwa bingwa kabisa hao sio wachezaji wa kusema watakupa ubingwa wa EPL katika mechi 38 and that's why Arsenal imeishia kuwa average team sababu ya kuwa na average players sababu unasema ohh alikuwa anacheza vizuri akiwa na Luiz but wametupa matokeo ya aina gani?miaka yote ya kuichezea Arsenal EPL wameoffer nini?tatizo hao wachezaji hawana consistency ukiangalia Chelsea Liverpool Manchester City wanagombania EPL sababu ya kuwa na wachezaji wenye consistency ukianzia golini hadi kwa forwards wao hvyo ni muda wa Arsenal kuachana na players kama hao iweze kufanikiwa that's it
John stone huyu beki wa Kati muingereza alishawahi kuichezea Man UTD?unajua john stone bado yuko man u?
Akikujbu nitag mkuuJohn stone huyu beki wa Kati muingereza alishawahi kuichezea Man UTD?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ligi ya EPL next season itakuwa ni hatari, Conte, pep, klopp, Tuchel, Mikel, Fonseca(Newcastle), Potter, Ole. Ni vita ya Matactics na Matransition.Spurs wameachana na Nuno.
Hii timu ilimtimua Jose ikafanya mazungumzo na Conte masharti ya Conte yakawa ni kuandaa pesa ilik kuchukua trophy yoyote soon. Spurs wakagoma.
Wakamchukua Nuno.
Kisha wanashangaa ni kwa vipi timu yao ipo ilipo? Kutokubaliana na Conte juu ya trophy nafikiri ni kiashiria cha kwamba wao wamejiandaa na project ya muda mrefu na wamemuamini Nuno.
Mmiliki wa Spurs na wa Arsenal wanashare zile tabia za kufitinisha kocha na mashabiki ili kuziba tatizo halisi ambalo ni mmiliki.
Unaona sasa you don't know nothing about football ni John Stones and I don't know kama yupo Manchester United najua yupo Manchester City am I wrong bro?unajua john stone bado yuko man u?
Mikel?Ole?acha jokes basiHii ligi ya EPL next season itakuwa ni hatari, Conte, pep, klopp, Tuchel, Mikel, Fonseca(Newcastle), Potter, Ole. Ni vita ya Matactics na Matransition.
eti holding na mari eti ni ukuta wa kutegemewa... arteta mwenyewe ameona uwezo wao ni carabao... holding katuchoma game kibao na huyo mariEbwanaaa eeeee acha kutalk shit that's why Arsenal inaonekana timu ya wajinga hivi kwa akili timamu mtu unakaa unasimamisha shingo na unasema Holding ni defender?let's be honest kwa Big team kama Arsenal haitakiwi kuwa na players kama Holding eti ndio defender wa kutegemewa players kama Nketiah Holding Elneny Saed hawatakiwi kukaa hata benchi imagine wamekuja watoto kama Saka na Smith Row ndani ya Muda mfupi wamekuwa tegemeo and think Mari alivyochomesha games kibao za Arsenal za ligi na friendly then you stand and say naye ni beki?
Holding na Mari walideliver.eti holding na mari eti ni ukuta wa kutegemewa... arteta mwenyewe ameona uwezo wao ni carabao... holding katuchoma game kibao na huyo mari
😅 Ole 😅Hii ligi ya EPL next season itakuwa ni hatari, Conte, pep, klopp, Tuchel, Mikel, Fonseca(Newcastle), Potter, Ole. Ni vita ya Matactics na Matransition.
Kwa kikosi cha Arsenal cha sasa kocha gani akija atatugea kombe la ligi?Mikel?Ole?acha jokes basi
Ollie Watkins tukimpata basi hatuna misimu mitatu mbele tunabeba EPLTumchukue Ollie Watkins....bonge la mchezaji aseee
Naamin hilo maana ni aina ya mchezaj anafit mfumo wa arteta kwa kuuwaangalia coz anaweza toka kushoto na kulia kote aka score sio mchezaj wa hadi full chance anafunga ht half chance pia ana scoreOllie Watkins tukimpata basi hatuna misimu mitatu mbele tunabeba EPL