Mkuu, Tammy Abraham ni mchezaji mzuri , Yaani unaweza kuquestion kila kitu kuhusu Arteta but not his talent ID, Tomiyasu 18m, Nuno 8m, Lokonga 18m ila kazi unaiyona.Calvert Lewin na Tammy ni vinabo. Ukijichanganya kumfanya awe ST mkuu kazi unayo.
Aouar anaweza asisajiliwe tena price dropped ila Arsenal hakubid. Arteta anasimamia anachosema kwamba mchezaji anayemhitaji ni atakayekua proud kua Arsenal.
Same attitude kama Wenger. No wonder Zaha hawezi kusajiliwa Arsenal.
Tammy na Lewin hua hawana msaada timu inapocheza na timu zinazopaki basi. Niliwahi kusema na narudia kama upo tayari kumpa chansi Tammy kwanini usimpe hiyo chansi Folarin, Martinell au Nketiah?Mkuu, Tammy Abraham ni mchezaji mzuri , Yaani unaweza kuquestion kila kitu kuhusu Arteta but not his talent ID, Tomiyasu 18m, Nuno 8m, Lokonga 18m ila kazi unaiyona.
nketieh alishapewa nafas sana akavurunda, same to balogun kipind laca auba n ketiah ni injury...akaonekana hana msaadaTammy na Lewin hua hawana msaada timu inapocheza na timu zinazopaki basi. Niliwahi kusema na narudia kama upo tayari kumpa chansi Tammy kwanini usimpe hiyo chansi Folarin, Martinell au Nketiah?
ramsadale kama ulimkataa awali usione aibu kumkubali...wengi wametubu ,mlimtaka onana ,scout ikagoma, chaguo la arteta ni huyo dogo na habahatishi kwa taarifa tu,hadi sasa hakuna goli alilofungwa bila errors za viuongo au bekiUtakua humjui Victor Valdes.
Alionekana kipa mzuri kumbe ukuta wa kina Puyol na uwezo wa Barca kumiliki mpira ulikua unambeba. Alivyoenda United nini kilifuata? Same na Allison.
unatudanganya au hukumkubali dogo ,now unaogopa kulamba matapishi yako,Ramsdale hayupo kwenye top list ya shot stoppers. Huyo Ederson yupo na Sanchez yupo.
TOMIYASU ni type ya beki arteta aliyekuwa anamtaka...kwanza awe anabaki nyuma kuunda back 3Mkuu, hapa tunatofautiana kidogo ninavyoona deadwoods hawawezi kulast longer kwenye hii Arsenal ya Arteta, naona kama kocha anaAdapt kinachofanyika kwa Pep Guardiolla.
Kuna taarifa ya kusajiliwa Tapsoba(CB) kumreplace Saliba kama atagoma kuExtend.
Pia kusajiliwa Natural full back kama Max Aarons, Tomiyasu atabaki kama CB. Hii inaonesha Arsenal msimu ujao itakuwa na four competitive CBs White,Gabriel,Tomiyasu,Saliba/Tapsoba. kama Ake, Laporte,Dias,Stones.
Sasa hawa wengine safari yao imeishia hapo, mfano tukimpata CM kama Aouar basi El neny tunampa mkono wa kwa kheri.
pablo mari, holding ni average CB ,ilikuwa swala la muda tu waende benchi wasubir carabao na FA, baada ya luiz kuondoka tulihitaji ball playing defender, unapobaki na saliba ambaye huna uhakika kama epl itamkubali , na saliba sio ball playing defender , kilichomfanya arteta amsajiri ben white kwa 50 alihitaji ball playing defender mwenye uwezo wa kuanzisha mashambulizi,Pablo Mari yuko vizuri. Am sure atapambania namba.
Mimi niliamini msimu huu Saliba atakuepo loan deal aliitumia kuprove Arteta alikosea.
Umewataja wakina Saliba. Chambers umemkaushia ๐
nakubaliana na wewe bora chamber as CB unakuwa na amani, hata aerial duel atazicheza, pablo na holding hadi sterling rahim alifungw goli la kichwa, ufupi wote ule fikiriaPablo Mari kaka he is not our type kabisa. We will see.
Chambers?? Let's see as well
onana ukiacha ule msimu ajax anafika semi fainal ucl,huku akifungwa pia magoli yakawaida, kipi hasa kingine alifanya,maty Ryan ni mzuri as backup ,tungeweza kumchukua free kama ana sifa unwzosema hapa, kumbuka alikuwa arsenal loan, mkataba umeisha akiwa arsenal hawakumuhitaji, kama kweli ana sifa hizo usemazo angebakizwaNotice umesema 'anaweza kumatch na Leno' he is nowhere near Leno kwenye shot stopping.
Anafanya communication na wenzake vizuri kuzidi Leno, Mat Ryan na Onana tungewapata kwa bei ya chini ya Ramsdale na tungepata communicators na shot stoppers.
And yes Ramsdale katushtua wengi. Manuel Neuer wakati anasajiliwa Bayern mashabiki waligoma kwenda kuangalia mechi na wakawa wanaimba wimbo unaosema Neuer hastahili kuichezea Bayern.
David Seaman pia ilimchukua muda kuaminika.
So in a long term Ramsdale anaweza kuteka mashabiki wote
Tumchukue Ollie Watkins....bonge la mchezaji aseeeTammy na Lewin hua hawana msaada timu inapocheza na timu zinazopaki basi. Niliwahi kusema na narudia kama upo tayari kumpa chansi Tammy kwanini usimpe hiyo chansi Folarin, Martinell au Nketiah?
? Wakati Nketiah anapafom europa haukua attention.nketieh alishapewa nafas sana akavurunda, same to balogun kipind laca auba n ketiah ni injury...akaonekana hana msaada
tammy yupo vzr zaid ya nketiah,balogun,
martinel majeruhi yamemuandama huyu ndie wakupewa nafas,aliwahi kupewa auba aliumia akatubeba
Sijawahi sema simkubali ila nilisema pesa iliyotumika ni nyingi.ramsadale kama ulimkataa awali usione aibu kumkubali...wengi wametubu ,mlimtaka onana ,scout ikagoma, chaguo la arteta ni huyo dogo na habahatishi kwa taarifa tu,hadi sasa hakuna goli alilofungwa bila errors za viuongo au beki
ulishajiuliza shefflied walioshuka daraja kwanini wali demand paun million 40?
dogo kwa mapenz yake na arsenal ndio ikapungua had paun million 30,
holding na mari hao ilikuwa swala la muda tu kuondolewa fairst team, na akirud saliba , mmoja wapo atafute pa kwenda, beki gani zinakaba kwa kurudi nyuma , mipira ya juu ha wawezi kuokoa, kama unamfatilia arteta utaona ilikuwa swala la muda tu kuwaondoa hao mizigo... holding, bellerin niliona hadi kichekesho glearish akiwa na mpira wanakaba kwa kurud nyuma, sterling anafunga goli la kichwa mbele ya holding kweli? utafunga hivo kwa tomiyasu au kwa Gab na BEN?Nilitaka CB awe Holding na Gabriel au Mari na Gabriel.
Arteta na Will Jr wanasema partnership ni White na Gabriel.
White alikuja kwa ajili ya kusaidia attack.
Hilo kalithibitisha.
Anapiga pasi (6 yards) na anaweza kusprint kusogea kati.
Ila ni mapema kusema amenishawishi.
Bado nasema Tomiyasu ile nafasi anafosiwa. Yule ni CB mambo ya Chambers yanajirudia.
Holding na pablo mari sio average player mkuu sema kuna mfumo haukumatch huko nyuma ndo maana uliona km ni average player. Ngoja nikwambie kitu, ukiwa na beki wa kati wanaofanana siku zote ni ngumu sana kufanya vzr hasa wanapokuwa wanashambuliwa. Mfano ukiwa beki mkabaji huwezi kuwa mzuri kwenye kuanzisha mashambulizi kwa kuwa ukianzisha mashambilizi ujue eneo lako linabaki wazi kwahiyo ukiporwa mpira hakutakuwa na organization nzr walinzi wa pembeni pamoja na kiungo mkabaji maana yake lile gep uliloacha lzm lionekane.pablo mari, holding ni average CB ,ilikuwa swala la muda tu waende benchi wasubir carabao na FA, baada ya luiz kuondoka tulihitaji ball playing defender, unapobaki na saliba ambaye huna uhakika kama epl itamkubali , na saliba sio ball playing defender , kilichomfanya arteta amsajiri ben white kwa 50 alihitaji ball playing defender mwenye uwezo wa kuanzisha mashambulizi,
Mchezaji kua na thamani ya juu haimaanishi ndiyo ana kiwango kikubwa. Notice kwamba thamani ya mchezaji aliye sokoni huamuliwa na timu inayommiliki kwa kuzingati mkataba uliobaki, umri wa mchezaji, utaifa, ligi anayotoka na potential.unatudanganya au hukumkubali dogo ,now unaogopa kulamba matapishi yako,
huyo dogo alikuwa timu za kawaida lkn national team anaitwa
ulishajiuliza why bei yake ilikuwa paun million 40? still he is 23 yrs old
unazungumzia europa hatua za awali duh... hizo huwa ni za hao vijana, linapokuja swala la mechi ngumu, huyo dogo ni utopolo tu? Wakati Nketiah anapafom europa haukua attention.
Nilishaelezea ishu ya Ryan. Ukiangalia vizuri utakuta.onana ukiacha ule msimu ajax anafika semi fainal ucl,huku akifungwa pia magoli yakawaida, kipi hasa kingine alifanya,maty Ryan ni mzuri as backup ,tungeweza kumchukua free kama ana sifa unwzosema hapa, kumbuka alikuwa arsenal loan, mkataba umeisha akiwa arsenal hawakumuhitaji, kama kweli ana sifa hizo usemazo angebakizwa
Holding na Mari ni average!?pablo mari, holding ni average CB ,ilikuwa swala la muda tu waende benchi wasubir carabao na FA, baada ya luiz kuondoka tulihitaji ball playing defender, unapobaki na saliba ambaye huna uhakika kama epl itamkubali , na saliba sio ball playing defender , kilichomfanya arteta amsajiri ben white kwa 50 alihitaji ball playing defender mwenye uwezo wa kuanzisha mashambulizi,
bei ya kepa ilikuwa euro million 18, kilichowafanya chelsea walipe 72 ni buyout clause si kingine, baada ya miez miwili mbele madrid walishajiandaa kumchukua kwa 18 tuMchezaji kua na thamani ya juu haimaanishi ndiyo ana kiwango kikubwa. Notice kwamba thamani ya mchezaji aliye sokoni huamuliwa na timu inayommiliki kwa kuzingati mkataba uliobaki, umri wa mchezaji, utaifa, ligi anayotoka na potential.
Kepa kanunuliwa 72M Mendy amenunuliwa kwa 25M kwa mpaka tulipo nani anaonyesha kiwango?
Hoja ya kuitwa timu ya taifa ina mashiko ila siyo kama unavyoiwasilisha hapa as at one point mchezaji haitwi ili kupata game time.
Kipa namba tatu wa Brighton aliitwa timu ya taifa ya Spain ili kua kipa namba 2 na kipa namba moja ni wa Villarreal (nafikiri) siyo De Gea.