joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 18,837
- 39,404
Tupate burudani kidogo kutoka kwa Pogba kabla ya mechi.
Mzee anakomaa na ajira yake hataki utani.
Leo mtaonewa huruma mtafungwa goli 2
Kaka hapo juu kuna kitu/neno umesahau.huwa unaandika kosi la dunia,jiamini mkuu haya ni maisha
Mtabiri mzuri sana wewe.Leo mtaonewa huruma mtafungwa goli 2
Arteta sio title contender and he proved alot his tactics wouldn't get us no whereIn Arteta process we strongly trust
Tatizo Sio ujuaji. Tunakaribia Kutoboa 20yrs bila taji la EPL. Na kumpa mtu team ajifunzie kazi ni jaribio la hatari sana. Siku pattern zake zikikaa sawa huyo anarudi Katalunya tunarudi kuanza upya majaribio. Mwenye team anahitaji kuwa serious na team ili walau ikate kiu. Kwa ilivyo sasa next three season tunaweza kuwa bado tunapiga mark tome na Nyukasto wakaja kulibeba kabla yetu.Kuna ujuaji humu kwa baadhi ya Watu usio na maana. Mnaona Arteta kama hafundishi vyema au anashinda ki bahati. Nendeni nyie sasa mfundishe basi. Ooh kikosi chepesi, Hicho kizito ni kipi
The issue is tumetoka wapi? Nyie mlikua kule juu now mnadhurula Meza ya katikati na tunawapumulia mgongoni.NASIKIA MLIKAA NAFASI YA 5 DAKIKA 51 TU MWAMBA AKAWASHUSHA..View attachment 1992673
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mkifungwa hua unakua kwenye hali gani?NASIKIA MLIKAA NAFASI YA 5 DAKIKA 51 TU MWAMBA AKAWASHUSHA..View attachment 1992673
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
SawasawaArteta: “We haven't done anything, we won a couple of matches. We are not where we want to be still. We have a lot of things to improve. Let's see humble, working hard and going game by game.”
That's The mentality![]()
![]()
![]()
Haya mambo ya kusifia kipa kuokoa sana michomo lazima tuelewe hii inamaanisha kwamba timu iko hovyo katika defense ndiyo maana wapinzani wanapata chansi ya kupiga mashuti kwa kipa.Aaron Ramsdale made eight saves vs Leicester today. Only Édouard Mendy (89.7%) is enjoying a higher save % this season than Ramsdale (85.7%), saved 24 of the 28 shots on target he has faced. [Opta]
hutaki asifiwe kabisa,duhHaya mambo ya kusifia kipa kuokoa sana michomo lazima tuelewe hii inamaanisha kwamba timu iko hovyo katika defense ndiyo maana wapinzani wanapata chansi ya kupiga mashuti kwa kipa.