Hiyo shida imekuepo mara nyingi sana.Lkn mbona muda ambao tumepata yale magoli mawili timu ilikuwa vzr sana ila baada ya hapo ikawa kama wameingiwa uoga wa kuchomolewa yale magoli ndo wakaanza kulinda na dk 15 za kwanza za kipindi cha pili ndo hali ilikuwa mbaya zaidi. Lkn kwangu mimi kilichokuwa kichwani mwangu ndo hicho kimetokea.
Mpaka half time tunawaongoza spurs 3. Second half tukarudi kukaba badala ya kuongeza intensity.
Same dhidi ya Crystal palace.
Hii ishu inatakiwa iwe addressed bwana

