Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Akili imekurudia sasa that's fine
 
Arteta is more better?sorry to say this Arsenal has got no coach but Arsenal wana wachezaji ambao wakiamka wapo happy siku hiyo utaona wanacheza vizuri
 
Mbona battle ya Arteta na Sosha imekuja baada ya ushindi WA Arsenal vs Aston villa kwamba Arteta ndo kaanza KAZI Ijumaa?Au ni kukosa la kuongea na kuanza kujifariji Kwa battle za ajabu.
 
"Arsenal is growing, one game a week they will be up there" Pep Guardiola
 

Attachments

  • twitter_20211024_124942.mp4
    7.7 MB
Aggression, positioning, pressing ni wajibu wa kocha? kajifunze upya mkuu Maishamagumu😁.

Tukiongelea suala la liverpool press kuwa Compact inachangiwa na Liverpool players' profile,
Pia mnatofautiana hata System, Liverpool 433 shape(two 8s) Attacking wise, while united 4231 shape (two 6s) defensive wise.

Leicester 4-2 united

Brendan Rodgers: "I thought we started well, their [#mufc] central players weren’t pressing so we could be patient and work the ball through the pitch, we got into some really good areas and put pressure on their backline." #mulive [@TyMarshall_MEN]
 
Dah, sijui unaona nn kwa Ole ambacho watu wengine hatuoni. Mwaka wa 4 huu kwa Ole but Man utd hatuna Identity

Liverpool's press ni kwa sababu ya kocha mkuu, Nadhani wote tunajua identity ya Klopp ni Gegenpressing. Wherever he goes he implements this philosophy regardless of the players' profile.
Kumbuka ata namna Guardiola alivyoi transform Bayern(same players, just few additions).
Mkuu angalia ata Chelsea ya Lampard
na TT, same players but very different performances on the pitch.
As an elite coach you must be able to obtain the best out of your squad.
Mambo ya systems, patterns of play, aggressiveness, positioning, pressing.. they are all down to the coach. Players' profile inachangia kidogo sana.

Naomba unijibu hili swali mkuu, What if Klopp ndo angekuwa kocha wa Man u, Do you think wangekuwa wanacheza hivi wanavocheza sasa just because of the players' profile ???
 
Nakubaliana na wewe.

Ni kweli kocha ndiye anaamua system ya timu.

Mfano Arteta anasema ana lengo la kuja kucheza 4 3 3 ila kwa wachezaji waliopo hilo ni jambo gumu hivyo inabidi ichezwe 4 4 2 au 4 2 3 1.
 
You make a lot of senses mkuu
 
Unaujua meaning of football my Nigga keep [emoji817]it up
 
Hili janga wanalodeal nalo leo united kuna siku litatuhusu.

Arteta take notes.
 
Kaka msimamo msimamo tuwekee na leo...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…