Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naona kikosi cha ushindi kimerudiwa isipokuwa xhaka kwahiyo matarajio ni ushindi
 
Kikosi hakijatoka bado mkuu.

Kama unacho hebu kiweke hapa tukiona. Kikosi kitatoka 25 minutes from now

Kimeishatoka

32Ramsdale
18Tomiyasu
4White
6Gabriel
3Tierney
5Partey
23Sambi Lokonga
7Saka
8Ødegaard
10Smith Rowe
14Aubameyang
Substitutes
1Leno
9Lacazette
15Maitland-Niles
16Holding
17Cédric Soares
19Pépé
20Varela Tavares
25Elneny
35Martinelli

Refa. Jonathan Moss
 
Will Jr upo? ARSENAL hawa watoto wapo vizuri sana sana tatizo kubwa ni kwa Combination ya Lokonga na partey hailipi na haitalipa na miezi 3 itakuwa ni mirefu sana
 
Will Jr upo? ARSENAL hawa watoto wapo vizuri sana sana tatizo kubwa ni kwa Combination ya Lokonga na partey hailipi na haitalipa na miezi 3 itakuwa ni mirefu sana
Yaah sure, tushammiss Xhaka tayari, kiukweli replacement ya Xhaka ni locatelli sio hawa wengine, Xhaka is the best DLP in EPL.
 
Ishu ya msingi ni kutransform forward line, bila Saka na ESR kuperform pale mbele hakuna ujanja, Tusajili CF kama Tammy Abraham/victor osimhen, CF who can hold the ball and pass it around.
 
Arse8 Ina roho ya ushoga ndani yao ..wachezaji wamelegea Sana ..lacazzete ni agent wa kuzimu anaharibu kisaikolojia wachezaji wenzie kwa kuwapakua visamvu. Michezaji ikiingia ground imechokaaaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…