Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Poleni sana watani mana mwenyewe kiliniuma japo siyo Gunners...wapi BAK,AW, Wacha1,kweli,Mbu et al...??!!
I feel for AW masikini but ndio mpira!!

Asante BJ tushapoa, kama ulivyosema ndio mpira. jinsi mechi ilivyo ngumu sikutegemea itaisha kirahisi vile. utasema picha ya kihindi lol.
 
Domino effect imeenda hadi kwenye account zenu?, nasoma soccernet apa naona mwaka jana mmepata loss ya £2.5M!
 
Yaani wewe unafaa sana kwenye uchambuzi wa mpira.
How did you know these two could be the killers?


Mkuu siunajua timu yako unakuwa unaijua weakness zake ziko wapi na unapata jibu nani atasumbua.

Martins nilimlenga kwa vile yuko aggresive sana na ana uwezo mzuri wa kumiliki mpira. Angeweza kutusumbua zaidi kama angeanza.
 
Domino effect imeenda hadi kwenye account zenu?, nasoma soccernet apa naona mwaka jana mmepata loss ya £2.5M!

wala sio mbaya kiviile ukiangalia kwa undani.


Arsenal Holdings plc - Financial results

  • Operating profit (before depreciation and player trading) of £12.6m (2009 - £29.3m) with, as expected, a reduction in the contribution from property.
  • Sale of 50 apartments at Highbury Square generated revenue of £22.5m (2009 - 261 apartments sales generated £96.6m) and an operating profit from property of £3.3m (2009 - £11.3m) reflecting the lower number of apartments now left for sale.
  • Property business continues to be debt free with all sales contributing to Group's cash position of £110.4m (2009 - £101.0m).
  • Further significant commitment to a determined policy of investing in the team with the re-signing of several key first team players and Arsène Wenger as the Club's Manager.
  • Football operating profits (before depreciation and player trading) of £9.3 million (2009 - £18.0m) reflect this increased investment in football wages and also timing differences in the number of home games played (2010 - 10 home matches in first half of 28 matches, so far confirmed, for full year / 2009 - 12 of 27).
  • Significantly reduced profit on player sales of £4.0m compared to £33.9m for the prior year.
  • Changes in property and player trading, which are essentially one-offs, impact overall result for the period - loss after tax of £2.5m (2009 - profit of £29.2m).
Commenting on the interim results, Peter Hill-Wood, non-executive chairman, said:

"This is a robust performance in the current climate and is where we expected to be at this stage of the financial year and at this stage in our longer term development plans for the growth of the Club.

The Club is exactly where we want to be, competing for trophies across the closing months of the season. I know that Arsène Wenger and his players will remain focused and will be appreciative of the fantastic support they get from our fans around the world.

I also want you to know that we are proud of the fact we continue to compete at the highest level while staying true to our principles. We continue to operate as a self-funding Club. This brings its own challenges in an increasingly competitive environment but provides the platform for a secure and positive long term future."
 
Birmingham really spoiled Arsenal's party. Even after the final whistle, the Gunners were asking whether Cesc Fabregas would be allowed to go up and lift the trophy!

The Arsenal victory parade bus being reversed back into the garage


 



Ahsante kwa picha.
 
Ahsante kwa picha.

Kama nilivyosema Mwanzo una kila sababu ya ku-own unachoweka kama huwezi kusema hiki ndicho nilichoweka na ninakiamini basi wewe ni coward. Utakuwa na machungu sana mwaka huu kwa sababu ya Wivu, nilikwambia last week unafanya editing kwa kile ambacho sijaweka na unaendelea kufanya hivyo kwa faida ya nani nobody knows.


BTW mimi nikiweka kitu nakubali nimekiweka. Hii yote ni kuumizwa na vijana machachari wa Arsenal angalia gap ya points between the two.

Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 


 
Rev Masanilo

Mkuu endelea kugombea Europa cup .... .... chichi tunaangalia mbele next game yaliyopita si ndwele thats the same kama tulivyowaburuza pale Emirates .... ..khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


 
Rev Masanilo

Mkuu endelea kugombea Europa cup .... .... chichi tunaangalia mbele next game yaliyopita si ndwele thats the same kama tulivyowaburuza pale Emirates .... ..khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Mnaangalie Mbele Ndo wapi?

Orient Leyton wanakuja! Messi anaangalia nyuma.

Hebu niambie kinachotokea hapo kwa Wenger Awali Arshavin alikuwa mkali sana, Rosicky na hata Chamakhi ila kwa sasa du wamekuwa average players kulikoni?
 
Mnaangalie Mbele Ndo wapi?

Orient Leyton wanakuja! Messi anaangalia nyuma.

Hebu niambie kinachotokea hapo kwa Wenger Awali Arshavin alikuwa mkali sana, Rosicky na hata Chamakhi ila kwa sasa du wamekuwa average players kulikoni?

Huwezi kuwasahau baada ya kuwatungua pale Emirates ...... Good angalau una kumbukumbu nzuri khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee






CL mko nje tayari! Maana kule Hispania ni balaa iwapo mnafungwa na Birmingham.

Ulisema maneno hayo hayo Barca walipokuja Emirates khe khe kheeeeeeeeeeeeeee Wacha Wivu weye ... ..... khe khe kheeeeeeeeeee
 
For you ofcourse not us!
Nicca please... why would I be heartbroken..?
Acha kujidai akijauma...kubali mmefungwa and it hurts hizi yengele nyingine ni mazungumzo baada ya habari.
 


I hit a nerve, you sad man!!
 
Huwezi kuwasahau baada ya kuwatungua pale Emirates ...... Good angalau una kumbukumbu nzuri khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee

Ulisema maneno hayo hayo Barca walipokuja Emirates khe khe kheeeeeeeeeeeeeee Wacha Wivu weye ... ..... khe khe kheeeeeeeeeee

Hivi ni Chamakhi ama Samaki?
 
Mkipenyeza kwa kale ka team ka mchangani FA Cup, kuna kigingi kinawasubiri - Man Utd.

It is safe to say yamebaki makombe mawili. Again, bado kuna Barca. I guess limebaki moja!

Al the best.
 
I hit a nerve, you sad man!!

Wewe ni coward hata picha ambazo zipo kwenye magazeti unaogopa kusema ni wewe uliyeweka ni AIBU uombe msamaha tu kwa wana jamvi maana hii ni tabia yako kupindisha hoja za members hapa. Phew! What a loser its just a Game. I hope you will apologize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…