Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

computerarsenal na Will jr please stop what you are doing here. Mmekuwa mkiishi kwenye familia moja ya Arsenal hivyo sio sahihi kuendeleza malumbano.

Tumekuwa pamoja na hii timu miaka yote, hivyo tumeshiriki kuona mafanikio sawa sawa na matokeo yake mabaya ambayo sasa watu wameshindwa kuyavumilia.

Mpira ni furaha, ni burudani so let football lead us.

Arsenal forever 💪💪💪
Mi naamini computerarsenal akianza kua bize jukwaa la timu yake ya psg haya malumbano yatakata.
 
computerarsenal na Will jr please stop what you are doing here. Mmekuwa mkiishi kwenye familia moja ya Arsenal hivyo sio sahihi kuendeleza malumbano.

Tumekuwa pamoja na hii timu miaka yote, hivyo tumeshiriki kuona mafanikio sawa sawa na matokeo yake mabaya ambayo sasa watu wameshindwa kuyavumilia.

Mpira ni furaha, ni burudani so let football lead us.

Arsenal forever
Pamoja mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rapper wa Tanzania aitwae Songa ameamua kuonesha kwa vitendo na msisitizo kwamba amehama kutoka kuwa Shabiki wa Arsenal na sasa ni Shabiki wa Manchester United ambapo kwa msisitizo ameachia na wimbo mpya kabisa unaitwa 'Nimehamia Manchester United"

Siku chache zilizopita Songa aliwaomba Mashabiki wa Manchester United kumpokea baada ya kuchoshwa na matokeo mabovu ya Timu aliyokua akiishabikia na kuipenda ya Manchester
Man u ipi, hiii hii ya Bruno majogoo
 
#NLD
IMG_20210926_175910.jpg
 
Back
Top Bottom