Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,077
- 7,420
Wewe unanunua jezi, unanunua tiketi au unatupigia kelele humu?We nae una unaa mwingi sasa fans kwenda kwenye mechi ndio wanamkubali coach?wenzetu wananunua tickets za msimu mzima na sijawahi kuona fans wa timu yoyote hawaendi uwanjani hata kama timu ni ya 20
Suala la kwenda uwanjani na kumkubali coach ni vitu viwili tofauti na hata mimi ningekuwa ulaya ningeenda mechi zote za Arsenal uwanjani but moyoni nshahamia PSG na mechi zao ningekuwa nazifuatilia na hata siku napata nafasi naenda uwanjani kabisa
Kroenke ameiua Arsenal completely fans wamepiga kelele wee but bado wanaenda uwanjani means kuwa kwenda uwanjani na kuwa against na mtu ni 2 different things subiri pale Arsenal atakavyoendelea kupokea vipigo fans ujumbe watakaotuma may be ni kwenda uwanjani ikifika dk ya 70 wanasepa zao
Sent using Jamii Forums mobile app


