Kuna kipindi nilisema tuna CB wengi sana haina haja ya kuleta CB wengine.Next season tutakuwa na Saliba tunaongeza CM, Winger, CF. hapo vipi wakuu kenye Rebuild hiyo.
Sasa hivi nia ya kushiriki EPL ni kupata nini sasa ?Arsenal ni ya Misimu miwili mbele, usijitie machungu kuwaza the impossible.
Kwanza ukimsoma mwandishi wa post anataka Kuprove Arteta yupo sahihi kwa aina ya wachezaji anaonunua. Kwenye picha Ramsdale,partey,white wote kawasajili...Kuna kipindi nilisema tuna CB wengi sana haina haja ya kuleta CB wengine.
Halafu sasa CB wetu wakiwa huko kwenye mikopo ni starters na wanaperform vizuri tu. Saliba ndiyo anaperform kama vile lengo lake kumthibitishia Arteta jinsi alivyo miyeyusho.
Back pass ya White jana ni mambo ya David Luiz, tulianza kuyasahau hayo lakini naona kama vile White anaenda kua Maguire. Inakua ngumu kuendana na amount aliyonunuliwa.
Magalhaed amefanya poa na Rob. Mari kafanya poa na Rob. Kwanini anaonyesha dalili zote za kumdrop Rob? Uzuri mpira unachezwa nje kila mtu anaona.
Hii picha ya chini na maelezo yake nataka nikutumie ujisikie raha.
View attachment 1946118
bado sijajuaLacazette na wenzake wameacha kutifuana mitaro?
Duh, poleniKesho tutakua uwanjani na AFC Wimbledon.
Kisha Jpili itakua ni shughuli na mtani spurs.
Lacazette aanze pale mbele Kwenye NLDKesho tutakua uwanjani na AFC Wimbledon.
Kisha Jpili itakua ni shughuli na mtani spurs.
Ni uongo tu wa kujifurahisha. Alifanyiwa interview kipindi Ronaldo anarudi united na Lukaku anarudi chelsea akaulizwa katika klabu zake anajiona anaweza kurudi ipi akajibu Arsenal.Wazee naona tetesi za Gnabry kurudi Arsenal, imekaaje hii?
Huyu ni inabidi akae namba ya Auba kwa heshima ya kua kapten na mla mshahara mkubwa awekwe atokee pembeni la sivyo ilibidi ale benchi.Lacazette aanze pale mbele Kwenye NLD
Sisi tunafocus na leo kwanza huyo spurs atajulikana hiyo siku ikifika.Spurs hawezi kukubali kupigwa mara tatu mfululizo, lazima apite na mtu wake nae n arsenyanye
Waulize united kama wana kombe lolote tangu Mourinho aondokeMna-focus na carabao au siyo 😂😂
Nimerudia mara tano na sijaelewa.Rudia tena
Kweli?🤪 Chelsea's defenders have scored as many Premier League goals this season (5) as Arsenal and Tottenham have managed as teams combined