Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nawasalimu wana Arsenal wenzangu!
Kwa mara ya kwanza jana nimeiangalia timu hii ikicheza tangu nilipoacha misimu miwili iliyopita.Kwa hakika machozi yamenitoka!Arsenal niliyoipenda sana kwa aina yake ya uchezaji,masikini jana nimehisi kama sitaiona tena.
Ipo wapi Arsenal iliyokuwa inapiga pasi 10 hadi 20 mbele ya Manchester United? Ipo wapi Arsenal iliyokuwa inazilazimisha timu kubwa kupaki basi kwa kuihofia?Ipo wapi Arsenal iliyokuwa inafunga magoli ya mipango toka nyuma mpaka goli?.
Arteta ameharibu kabisa falsafa ya uchezaji wa Arsenal.Vijana hata pasi 5 tu hawawezi cheza!
Arsene Wenger upo wapi uioneshe Arsenal mrithi wako sahii?Leo Arsenal niyakucheza mpira kama wa Chelsea ya Morinyo kweli!
Hapana Arteta angepisha tu.
unamlilia nani?
 
Kuendelea kuichambua arenal ni kuendelea kujichosha tu...

Arsenal yote ni mbovu.. Kuanzia management hadi wachezaji... Wote hawapaswi kuwepo pale arsenal.

Mmiliki wa arsenal bado anazani mpira ni sawa enzi zile za miaka ya 90 na mwanzon mwa miaka ya 2000..

Mpira sasa umebadilika.. Usitegemee kukuza vipaji ili kushinda mataji ya ligi.. Mpira sasa ni pesa.. Toa pesa nying upate wachezaji wa zuri..

Mzee ferg wa man u.. Aliliona hilo mapema.. Akaamua kuachia ngazi ...

Vilevile wenger alainza kukosa mataji kwa kutaka kuendelea mifumo ya kizamani ya kukuza wachezaji..

Man united walikubali kubadilika.. Na kuanza kununuq wqchezaji wa bei mbaya... Ila waliingia kwa pupa....
 
Big teams zinapishana angani kwenda kuplay match za ulaya (champions league, europa hata Europe Conference)but kwa mshangao Arsenal haipo na die hard fans wakasema wanajipanga kwa ajili ya this season kuingia Top 4 na maajabu Arsenal got 3 points in 4 Matches na hata dream ya kuingia top 10 haipo na hili die hard fans I am telling you guys Arsenal imeshuka class yake vibaya sana,ukienda groups za wenzetu wanaongelea mashindano ya ulaya imagine leo Arsenal haiongelei habari za michuano ya ulaya?seriously?ohhhh my God
 
Champions League nao wameona wa-unfollow kabisa Arsenal yenyewe

C977E4C2-B1FE-4C27-91FF-AE678145A775.png
 
Big teams zinapishana angani kwenda kuplay match za ulaya (champions league, europa hata Europe Conference)but kwa mshangao Arsenal haipo na die hard fans wakasema wanajipanga kwa ajili ya this season kuingia Top 4 na maajabu Arsenal got 3 points in 4 Matches na hata dream ya kuingia top 10 haipo na hili die hard fans I am telling you guys Arsenal imeshuka class yake vibaya sana,ukienda groups za wenzetu wanaongelea mashindano ya ulaya imagine leo Arsenal haiongelei habari za michuano ya ulaya?seriously?ohhhh my God
unateseka sana
ukiachwa achika
 
Mbona unahaingaika na huku mbako sio big team so uende kwenye timu ambayo ni big au huna watu wa kupiga nao story?

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Kiungo mchezeshaji wa Ufaransa Houssem Aouar, 23, amepinga mazungumzo yanayomuhusisha yeye na klabu ya Arsenal na anasema anataka kuisadia Lyon kufuzu katika kombe la klabu bingwa Ulaya
 
Back
Top Bottom