Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Man can save everything even arsenal
20210911_222423.jpg
 
Arsenal Leo kapiga shots 30 mara ya mwisho ilikuwa December 2017 walipiga shots 33 vs man united- source Charles watts.
 
mwanang arse8 hongereni sana kwa ushindi ..mumepanda hadi nafasi ya ngapi. Au ndo muko pale pale.
 
Norwich siyo kibonde wewe. Timu imecheza mara home and away na timu zingine 23 na hapo kuna carabao na fa na imemanage kupanda bado unaiona kinabo
Hiyo team ikicheza dhidi ya Chelsea inabamizwa kuanzia goal 4+ imeshafungwa goal 5 na Man city, imepigwa pia na liverpool goal 3 ni vibonde ndio maana ipo nafasi ya 20 alafu wewe unakuja kushinda kagoal kamoja Tena kwa mbinde
 
Wazee Nicolas Pepe akiendeea hivi atauzwa very soon, amecost £72m na ameshapewa fursa kibao za kuProve uwezo wake lakini anasikitisha.
 
Anakaza kichwa... Muache muda wake wa kufuliliza vipigo unakuja.
 
Wazee Nicolas Pepe akiendeea hivi atauzwa very soon, amecost £72m na ameshapewa fursa kibao za kuProve uwezo wake lakini anasikitisha.
The guy alianza season kama Ronaldo wakati anafika united mara ya kwanza.

Sancho tumuangalie kwanza
 
Goli lenyewe halielewiki limepatikanaje, kweli hii timu ya Mashoga.
 
Nawasalimu wana Arsenal wenzangu!
Kwa mara ya kwanza jana nimeiangalia timu hii ikicheza tangu nilipoacha misimu miwili iliyopita.Kwa hakika machozi yamenitoka!Arsenal niliyoipenda sana kwa aina yake ya uchezaji,masikini jana nimehisi kama sitaiona tena.
Ipo wapi Arsenal iliyokuwa inapiga pasi 10 hadi 20 mbele ya Manchester United? Ipo wapi Arsenal iliyokuwa inazilazimisha timu kubwa kupaki basi kwa kuihofia?Ipo wapi Arsenal iliyokuwa inafunga magoli ya mipango toka nyuma mpaka goli?.
Arteta ameharibu kabisa falsafa ya uchezaji wa Arsenal.Vijana hata pasi 5 tu hawawezi cheza!
Arsene Wenger upo wapi uioneshe Arsenal mrithi wako sahii?Leo Arsenal niyakucheza mpira kama wa Chelsea ya Morinyo kweli!
Hapana Arteta angepisha tu.
 
Back
Top Bottom