Hapana. Kuloa hiyo ni overstatement. Kikosi kilikua kizuri. Japo kilikua kime under perform kwenye domestic ligi kwa miaka 2 mfululizoAh basi we umechanganya mambo.
Kuna jamaa alisema Pep alipokea timu ya wakubwa imeloa nikamkatalia. Hamna sehemu nilisema alikua hana CV.
Basi mi na wewe hatuna cha kuongea kama ni hivi.
Na Pep kaona kikosi hakifanyi poa kutokana na uwepo wa Deco, Eto'o na Gaucho. Walikua ni tegemeo ila walikua na influence mbaya kwa waliobaki.Hapana. Kuloa hiyo ni overstatement. Kikosi kilikua kizuri. Japo kilikua kime under perform kwenye domestic ligi kwa miaka 2 mfululizo
Yeah. Akawa offload akabaki Etoo kwa msimu mmoja. Lakini hizi decision kiukweli zilikua very bold tukiangalia uwezo wa hao players. Hapa ndipo huwa naamini pep alikua anajua anachofanya since day 1Na Pep kaona kikosi hakifanyi poa kutokana na uwepo wa Deco, Eto'o na Gaucho. Walikua ni tegemeo ila walikua na influence mbaya kwa waliobaki.
Wanamdiscus Pep wa man city badala ya kumdiscus Arteta, kweli hawa jamaa machoko.Kunyanduana FC
Wana mdiscus Pep kwa muktadha wa Arteta. Yaani kichwa chako kizito mpaka huwezi kuelewa? Hapa inafanyika comparison Pep kafanya nini, kapitia wapi, kwa staili gani ya uongozi na je Arteta ataweza kukanyaga alipokanyaga rafiki yake? Soma uelewe sio usomeckujibu tu.Wanamdiscus Pep wa man city badala ya kumdiscus Arteta, kweli hawa jamaa machoko.
Mkuu, umefurahia kiasi gani kutuita machoko?Wanamdiscus Pep wa man city badala ya kumdiscus Arteta, kweli hawa jamaa machoko.
Huyu jamaa huwa hajielewi anajifanya kama kila kitu anakijua swali rahisi kama hilo analikimbia CV ya Pep ilishajieleza kabla ya kupewa timu ya wakubwaTusiruke ruke. Tukae kwanza hapa hapa kwenye swali lako. Tujadili namna Pep alifanya wonders kabla ya ku join team kubwa. Then sasa tutafika huko kwingine ambapo tuta discuss ni namna gani aliweza kuchukua treble na kikosi ambacho mtangulizi wake Frank Rijkaard yeye alimaliza nacho ligi akiwa wa 3.
Aisee embu masela waache hii joke ya kumfananisha arteta na guardiola. Wawafananishe nationality tu labdaHuyu jamaa huwa hajielewi anajifanya kama kila kitu anakijua swali rahisi kama hilo analikimbia CV ya Pep ilishajieleza kabla ya kupewa timu ya wakubwa
Neymar, Cout, Dembele na Suarez?????? Ulitaka kumaanisha nini hapa mkuu? Maana hao hawajawahi kufundishwa na guardiolaWakati Pep anaichukua Barcelona alikuta Barcelona ina Deco, Eto'o na Gaucho kama forwards. Reserve Messi.
Defense ilikua na Puyol, Alves.
Hapo Pep ametoka kufundisha timu B.
Katika mkutano akasema hana mpango na Deco, Eto'o na Gaucho. Kilichofuata? Neymar kwa 200M, Coutinho kwa 135M, Dembele kwa 135M, Suarez akaletwa pale.
Swali lako la Pep aliikutaje Barcelona limenifikirisha.
Watu wengine unawaangalia, halafu unawaacha.Mwana anahisi ume fail maisha. JF tungejuana humu tungeamkiana shikamoo sana tu
We kichwa chako ndio kizito huelewi shida sio Arteta, shida ni ushoga wa wachezaji wenu. Taratibu na nyie mashabiki mtaanza kutafunwa.Wana mdiscus Pep kwa muktadha wa Arteta. Yaani kichwa chako kizito mpaka huwezi kuelewa? Hapa inafanyika comparison Pep kafanya nini, kapitia wapi, kwa staili gani ya uongozi na je Arteta ataweza kukanyaga alipokanyaga rafiki yake? Soma uelewe sio usomeckujibu tu.
Mou hakufeli United. Na kama ile unaiita failure basi hii ya Arteta pale Arsenal itakua damage, far more than a failure
Kocha Ancelot alipofukuzwa R.Madrid alifeli kipi?Ahahaha! Kwanini alifukuzwa sasa? walimuonea?
Kocha Ancelot alipofukuzwa R.Madrid alifeli kipi?
Hivi unafahamu philosophy za R.Madrid na Chelsea, Man Utd hazifanani na za Arse8 au unajitekenya na kucheka mwenyewe huku ukijiangalia kwenye kioo?
Mkuu jibu la hili swali lako ni pana japokua ukiangalia vizuri uendeshwaji wa Man U, City, Chelsea, Bayern utagundua kuna mambo mengi wanazingatia katika kumu appoint ama kumfukuza coach. Ntakupa mifano michache hapa chini.Ahahaha! Kwanini alifukuzwa sasa? walimuonea?
Mimi hujanijibu na wakati huo huo unataka nikujibu wewe swali lako?Mtoa comment anasema Mou alifanikiwa United, sawa sijakataa, ila swali
je walimuonea kumfukuza?