Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bado mzimu wa Ozil unawasumbua
Na Wenga, mlimuonea sana yule mzee. hata tajiri asiposajili wachezaji wa maana kama akina Auba bado wenga aliweza kuwa im ara na kumal;iz atop 4 au 6. Mtafuteni Wengta mkamuombe msamaha na kumuomba arudi au mtaenda kuungana na Sunderland kwenye Ligue 2 kule mbali
 
Bora hata Manji angekuwa mmiliki hali isingekuwa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…