Arsenal (The Gunners) | Special Thread

The telegraph wameandika kuwa Arteta kapewa mechi tano na board ya Arsenal... Kwa jinsi nilivyoiona timu inacheza jumapili vs chelsea sijui kama atapona.. Mke wake nae aliwanyooshea mashabiki dole la kati.. Mashabiki kwa hasira wamejaza PM ya binti wa edu kwa matusi... Kimsingi Edu asipokuwa makini atafungasha virago kabla ya hizo mechi tano!.. Conte anapewa nafasi kubwa kumrithi.. Ngoja tuone!
 
Amen na iwe hivyo, apigwe zote tuanze league upya.
 
Jumapili hatuchezi na Chelsea
 
Hivi kesho Arsenal si inacheza?

Mfano ikapata goli kesho hilo goli halitakua la mwezi?

Hii story ya City inakujaje?

Mbona kuna watu wengi sana hawana taarifa sahihi halafu ndiyo wanapenda kuandika?
 
Sisi kama mashabiki wa Arse88 bado tuna imani na Lord Arteta.

#Arteta mitano tena.
 
Conte ni wa kazi gani kwenye timu kubwa kama arsenal.? Conte uwezo wake ni mdogo sana napendekeza mimi kama shabiki nguli wa Arsenal tubaki na arteta wetu 😁😁
 
Sisi kama mashabiki wa Arse88 bado tuna imani na Lord Arteta.

#Arteta mitano tena.
Tumuunge mkono bwana Arteta ..sisi arse8 bado tuna muhitaji sana huyu ndo kocha atayetutoa Hapa tulipo.
InArtetaWeTrust..
 
Reporter πŸ—£οΈ We heard You Want To Join Arsenal This Season or Next,how True?
Halaand πŸ—£οΈ Arsenal? Yes,that's true,We All Players and the fans really supposed to join Arsenal In PRAYERS πŸ™ this season and next season
Reporter πŸ—£οΈ No,I mean play for them
Halaand πŸ—£οΈ I'm Not Too Young To Retire, Retirement Will Be The Best Option πŸ₯ΊπŸ₯΄πŸ₯΄
πŸ˜‚
 
Ukilogwa na sisi mashabiki wa Arsenal tutakuwa tumekuonea.?
 
Labda Conte wa mbagala. Yaani Conte aje arsenal kuharibu CV yake?

Kwanza dirisha litakuwa limefungwa. Hawezi kubali kuja halafu asisajili mtu yoyote. Kumpata Conte sahauni.
 
Labda Conte wa mbagala. Yaani Conte aje arsenal kuharibu CV yake?

Kwanza dirisha litakuwa limefungwa. Kumpata Conte sahauni.
Duuuuuh!!!!!!!Hawa jamaa waloanza kushabikia mpira kutokana na BETTING bhana!!!!

Eti dirisha litakuwa limefungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…