Namshangaa sana jamaa wakati msimu huu hakuna excuse ukweli Arsenal nafasi ya 16 akiishika akafanye sherehe that's the fuckin truth atake asitake Arsenal ni timu ya kimalaya malaya unafungwa na Brentford then kwa kikosi hicho hicho upate 6 points dhidi ya Chelsea na Manchester City?