Mamaester utd mke wangu mpendwa.Mbona una lalamika kama umekalia chupa
Currently hatuna wachezaji wazuri mkuu,Hayo mambo ya kina Fabregas ni ya nyuma huko mkuu, ninachopinga ni kuwa kwa kipindi hiki si rahisi mchezaji mzuri Arsenal kuondoka kirahisi kama unavyosema, ndio maana nimekupa mfano wa Wachezaji wazuri na Wamesign new Contracts.
Njoo na ID yako ya Jully jr, ili tuelewane vizuri, kobe we!Mamaester utd mke wangu mpendwa.
Umekua ukinipa points 4 kwa misimu mitatu sasa.
Mwaka huu sina budi kuchukua points 6 zote kama nilivochukua kwa mke mwenzio mkubwa(cheltako) msimu uliopita.
Mwaka huu hupati hata pointi moja kipenzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia tumalizie pakti ya mwishoNjoo na ID yako ya Jully jr, ili tuelewane vizuri, kobe we!
PSG timu yake ina muda gani mbele unavyoiona? Almost Timu nzima imejaa Aging group.Currently hatuna wachezaji wazuri mkuu,
Wachezaji wengi ni average,kesho atakupa hiki na keshokutwa atakupa kile.
Believe me!! Ukimuondoa saka sizani kama tuna Mchezaji mwengne anaweza kua regular starter man city au PSG.
Sent using Jamii Forums mobile app
Arteta anabidi ajiongeze sana kwa kweli. Hivi hatuna mpango wa kutafuta kocha mpya? Nadhani kikosi chetu akipewa kocha mzuri zaidi atafanya makubwa nacho.Asenali hii ambayo Elneny anaingia kwenye mfumo na torreira haingii ,kwa hili arteta anaendelea kujifunzia ukocha hapo......
Mwisho wa siku atafukuzwa tu sijui ni lini ila baada ya mechi tano safari itakuwa tayari ..........
Bado anamuda wa kuendelea kujifunza ila sio kwa aseno....
Acheni lawama kama hamna taarifa za kutosha.Asenali hii ambayo Elneny anaingia kwenye mfumo na torreira haingii ,kwa hili arteta anaendelea kujifunzia ukocha hapo......
Mwisho wa siku atafukuzwa tu sijui ni lini ila baada ya mechi tano safari itakuwa tayari ..........
Bado anamuda wa kuendelea kujifunza ila sio kwa aseno....
Kua na promising youths ni kama una long term plan.PSG timu yake ina muda gani mbele unavyoiona? Almost Timu nzima imejaa Aging group.
City at least ana watu lakini hana tofauti sana na sisi, Maana future ya City ni Grealish, Torress na Foden.
Arsenal unaongelea the most exciting youth core in the World
Angalia hapa timu aliyorithi Arteta na iliyopo sasaView attachment 1899669View attachment 1899670
Mkuu Kwahiyo ni kipi kinamuondoa asenali ?Acheni lawama kama hamna taarifa za kutosha.
Torreira amesema hataki tena kucheza mbali na kwao kwakua baada ya mama yake kufariki amekua depressed. Na amesema asipocheza regularly ndiyo hali inazidi kua mbaya hivyo analazimisha kuondoka.
Sasa Roma wameonyesha nia ya kumtaka. Arsenal wametaka 18M lakini kama hawakutoa kwa Xhaka kuna wasiwasi hata kwa Luca wakaleta drama tu za hapa na pale.
Amesema hataki kubaki uingereza anataka akakae karibu na ndugu zake.Mkuu Kwahiyo ni kipi kinamuondoa asenali ?
Kabisa mkuu, ila kocha yoyote atayekuja Arsenal lazima afanye rebuilding na itamchukua 3-4 yrs, kitu ambacho ni sawa hiki kinachofanyika sasa na hawa Young players.Kua na promising youths ni kama una long term plan.
Arsenal is in a critical condition sasa hivi. Hao youths kama hawana output nzuri inakua ni mzigo tu.
Wewe ni muha nn!? Ubishi huo duuuh!Sio kweli mkuu, kama ni hivyo Auba, Partey, Pepe wasingekuja Arsenal. Walikuwa kwenye prime nzuri tu huko walipitoka na walikuwa wanacheza European football.
Hahaah hakuna ubishi mkuu weka Facts ueleweke, vinginevyo utakuwa unalazimisha tuone sawa.Wewe ni muha nn!? Ubishi huo duuuh!
Ramsdale na Odergard tayari mali ya Arsenal
Vp kuhusu timu kubwa ambayo hata haishiriki hiyo conference?Unajua siku hizi kuna Europa Conference league ambayo inakutanisha timu za kufuzu Europa?
Jana Spurs kapigwa 1 bila na timu ambayo haujawahi kuisikia jina. Ila hili hauwezi kulijua kwakua spurs ni timu ndogo