Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hiyo ni kwa current window, hiyo ndio mada iliyopo mezani

Hata ukizungumzia kwa madirisha, say past 3 to 5 windows, Bado Arsenal ame spend kuliko Leicester, Harmers, spurs lakini kiwango uwanjani haki reflect matumizi yake sokoni

Kwa hiyo bado kuna tatizo sehemu
 
Mh timu ulizoamua kufananishia hazina fan base kubwa ambayo inaweza jaza uwanja au ikanunua bidhaa za timu zao kwa wingi.

Hizo timu hazispend kwakua hazina mapato makubwa na siyo kwa vile ni tactical geniuses ambao wanaangalia xg ni kuokota almasi mchangani.

Kocha akienda westham anaambiwa objective ni kua midtable.

Miaka minne nyuma hata Leicester hii ndiyo ilikua objective.

So kwao kutofuzu kua Europe siyo kosa.

Nakubaliana na wewe na kila anayesema tatizo lipo mpaka kwenye uongozi.
 
Hoja yangu hapo ni regardless of mapato or objectives of the club or any other factor, ni kwamba Arsenal ame spend sana this season (ukilinganisha na wakubwa wenzake) na ana underperform

Pia pamoja na kwamba ame spend sana (kuliko hizo timu za mid table) for over 5 past years pia kwa kigezo hicho hicho ame underperform
 
Boss hoja yangu ni kwamba ana wachezaji wasioendana na mfumo wengi ukilinganisha na wakubwa wenzake so ameingia sokoni kutafuta watakaoendana na mfumo wake. Pamoja na kuspend kote panapooneshwa hapo Arsenal imenunua wachezaji wanne tu. So hao wakubwa wenzake hawana haja ya kuspend kwakua they are good tayari.

Kuhusu kufananisha na westham et el ndiyo nasema ungewafananishia wenzake hao hao wanaoendana kila kitu huku wakiwa na ambitions sawa.
 
Nilikuwa sijawahi kupata typhoid fever, imenipiga na nilichelewa kuitambua kwa sababu hospital za huku mikoani absolutely rubbish. Naomba mniombee nipo kitandani natetemeka. Naendelea na dawa
Pole sana mkuu.
 
Nilikuwa sijawahi kupata typhoid fever, imenipiga na nilichelewa kuitambua kwa sababu hospital za huku mikoani absolutely rubbish. Naomba mniombee nipo kitandani natetemeka. Naendelea na dawa
Pole mzee.
 
Ni kweli mkuu timu haina hata passion wala mikakati yoyote.

Kila mechi kwetu ni kubwa,hamna hata mechi ambayo unatoka home na kwenda banda umiza moyoni ukiwa na imani hapa nakwenda kuchukua point 3.

Ikitokea mchezaji ameanza ku develop na kua mzuri na timu nyingine kumtaka hashawishiki tena kubaki arsenal kutokana na strategies mbovu pamoja na mipango tuliyonayo refer RVP,NASRI,CLICHY, na SAGNA.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Auba, Saka, ESR, Martinelli, Tierney wote wamesign new contracts, hapo unasemaje?
 
Auba, Saka, ESR, Martinelli, Tierney wote wamesign new contracts, hapo unasemaje?
Mkuu hao wote hamna hata team moja ilikua ikiwataka ndo maana wakawa wepesi kushawishika kubaki.

Mchezaji akiwa katika 'prime' afu huku team kadhaa zikiwa zinamtaka ni ngumu sana kubakia ARSENAL,

Unakumbuka issue ya Alexis Sanchez Baada ya city na utd kumtaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Auba hakuna timu ilikuwa inamtaka kipindi anasign ?
ESR huyu si Villa wametuma ofa karibu mbili juzi hapa?
Na Wewe unaamini Kieran Tierney akiwekwa sokoni hakuna timu itamtaka?
 
Mkuu Auba hakuna timu ilikuwa inamtaka kipindi anasign ?
ESR huyu si Villa wametuma ofa karibu mbili juzi hapa?
Na Wewe unaamini Kieran Tierney akiwekwa sokoni hakuna timu itamtaka?
Mkuu huenda hatukuelewana.

Mm nilikua naamanisha kum retain mchezaji akiwa katika 'prime' against giants team.

Hivi ESR aiche arsenal kweli ilihali anapata namba aende kucheza Villa kweli?

Incase angekua hana namba ya kudumu kama Joe willock ndo angeenda huko Villa.

Unakumbuka transfer ya RVP kufosi kwenda UTD kisa tu alitaka babu Wenger asajili wachezaji wenye quality ili timu ifanye vizuri?

Vipi kuhusu FAB kwenda Barcelona?

Mkuu tusidanganyane,ikitokea kwetu Mchezaji akiwa katika 'peak' ni ngumu kum retain kutokana na kutoshawushika na mipango ya club.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli mkuu, kama ni hivyo Auba, Partey, Pepe wasingekuja Arsenal. Walikuwa kwenye prime nzuri tu huko walipitoka na walikuwa wanacheza European football.
 
Hayo mambo ya kina Fabregas ni ya nyuma huko mkuu, ninachopinga ni kuwa kwa kipindi hiki si rahisi mchezaji mzuri Arsenal kuondoka kirahisi kama unavyosema, ndio maana nimekupa mfano wa Wachezaji wazuri na Wamesign new Contracts.
 
Mbona una lalamika kama umekalia chupa
 
Mkuu kwa price ya Nicholus pepe sizani kama LILLE wangejiuliza mara mbili
kwahyo pale ilikua lazima deal lile lifanyike ukizingatia biashara ya mpira ni kuuza na kununua wachezaji.

Partey na auba kilichowavutia ni ukubwa wa brand ya arsenal pamoja na personal benefits.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…