Arsenal (The Gunners) | Special Thread

I think the owner of Arsenal is an oil explorer because the way they are going down always will make them discover oil soon.
Unasema kweli mkuu maana msimamo wa Jana jioni walikuwa kileleni, lakini nashangaa huu wa Leo wako mkiani!! Wati hapenidi???
 
Kwa kiwango hiki, it is difficult to get good players who will be willing to join our team. Arsenal is rubbish

Pole mkuu. Naona zile tambo zako zimeyeyuka gafla. Ila bado mapema ndiyo kwanza ligi imeanza bado mechi 37. So keep cool
 
Unafungwa na timu iliyo panda daraja,
Huo ni ushamba, huoni!
Aghh huo ni ushamba sasa.
 
Arterta ni pimbi sana, msimu wa pili huu timu haieleweki ina cheza nini. Hiyo philosophy anayotaka timu icheze sioni kama wachezaji wanaelewa come december tupo nafasi ya 17-20 namwona akiwa kocha wa kwanza kutupiwa virago.
 

Msimu huu mtaandika sana kiinglish aiseee
. Mtakaposhtuka mtajikuta mpo nafasi ya 22 huko
 
Andikeni kiswahili ili nasi wakimbia umande tuelewe!
 
Mkuu salama? Pole kwa kipigo cha jana.

Hili jambo mbona nimeeleza humu mara nyingi tu, kabla ya kumpa kazi Arteta Arsenal wali approach high profile coaches kama Allegri, Luis Enrique nk na wote iliwashindwa sababu ya mahitaji yao ya pesa za kufanya squad overhaul.

Arteta ni kocha asiye na experience kwa hiyo kama Arsenal waliona anafaa lazima umpe vitu viwili, 1. Time to establish himself 2. Resources.

Tazama PSG pamoja na kikosi chao bado wanasajili Messi, Ramos, Donnouramma nk in the same transfer window na wana Pochettino kama kocha.

Man City bingwa mtetezi wa ligi na bingwa wa Carabao anasajili Grealish na bado wanamuwinda Kane to bolster their squad, kwenye bench kocha ni Pep.

Chelsea ambaye ni bingwa wa Uefa na Super cup ananunua Lukaku na bado wako busy kwenye transfer market kuongeza watu kwenye kikosi chao na hapo kocha ni Tuchel.

Huyu Arteta na hawa kina 'Lokonga' kama wanavyo tunanga wapinzani wetu unataka kumlaumu kwa kipi labda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…