Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,580
- 81,535
.Thamani aliyonunuliwa Pepe, inanunua kikosi cha brentford kinachoanza leo, na chenji inabaki
..Thamani aliyonunuliwa Pepe, inanunua kikosi cha brentford kinachoanza leo, na chenji inabaki
....Thamani aliyonunuliwa Pepe, inanunua kikosi cha brentford kinachoanza leo, na chenji inabaki
.....Thamani aliyonunuliwa Pepe, inanunua kikosi cha brentford kinachoanza leo, na chenji inabaki
usijifiche kwenye mikeka tunahabar zako[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nimekimbilia kucash out mapema sana maana dah
Getafe naye kapata red sidhani kama kuna goli litaongezeka
View attachment 1891443
Baada ya hapa utafanyika usajili miyeyusho wa kuwakalisha watu kimya ambao hautakua usajili wa kuaddress tatizo kisha mambo yaleyale yataendelea.
Jamaa una roho mbaya waye!!usijifiche kwenye mikeka tunahabar zako[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]