Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kweli tufanya vibaya uwanjani lakini hata kwenye management? unawezaje kutoa paund 30m kwa golikipa ambaye anaenda kuwa backup? kama hili dili Arsenal wakifanya litakuwa ni biashara na maamuzi ya kipumbavu sana kuwahi kutokea. Waingereza ni Overrated, Hakuna uhalisia uwezo wao uwanjani na bei zao unazotaka kupigwa.
 
Screenshot_20210812-012941_Samsung Internet.jpg
 
Habari zenu Asernales. Nimekuja kuwa salimu majirani. Leo najua mnakuwa nafasi ya kwanza kwenye ligi.
 
Martin Odegaaaaaaard... Dili ya Maddison imekufa, mimi kwangu sherehe
 
PIGO ARSENAL| Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta amethibitisha kuwa Washambuliaji wake tegemeo nahodha Pierre-Emerick Aubameyang na Alexandre Lacazette hawako fit na hawatacheza dhidi ya Brentford usiku wa leo
.
Muda wa stress kwa Mashabiki wa Arsenal umefika na msimu ndo kwanza unaanza
.
Screenshot_20210813-154537_GBInsta.jpg
 
hawa hamna kitu hata kama wangekuwepo sidhani kama wana impact kubwa sana

Nketiah kutokuwepo kwangu ndo naona shida
 
Back
Top Bottom