Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wazee Soyuncu tulihusishwa naye kabla ya leicester city lakini wapi, Boubakary Soumare naye hivyo hivyo Aaron alileta sana taarifa zake humu.

Inaonesha Lokonga profile is better than bouba lkn Sio siri Bouba anajua huyu mtu, Bouba + Ndidi pale kati pamechafuka, Arsenal kuwaScout wachezaji tupo fire shida kuwanunua sasa!
 
Arsenal nyie ni wapinzani wangu ila usajili wa Onana ningeufurahia sana mana changamoto kuwafunga ingeonekana ila cjui mmekwama wapi nyie utopolo wa London.

London is blue 💙💙💙
 
eti lokonga matakataka tutawafukuza london mnatuaibisha sana
 
Arsenal nyie ni wapinzani wangu ila usajili wa Onana ningeufurahia sana mana changamoto kuwafunga ingeonekana ila cjui mmekwama wapi nyie utopolo wa London.

London is blue 💙💙💙
Tokea lini Arsenal akawa mpinzani wa Chelsea. Kwa London mpinzani wa Arsenal ni Tottenham Hotspur.
 
tusiporudi top four
Arteta alaumiwe na afukuzwe pamoja na kibaraka wake Edu
Hilo sahau mkuu, timu yenu haiwezi tena kurudi ndani ya top four kwa miaka ya karibuni.

Tatizo sio Arteta wala Edu.
Tatizo ni mabosi wa timu yenu.

Nakuhakikishia Arsenal ikipata bosi asie chungulia pesa, sio top four, bali hata ubingwa mutachukua.
 
Unaandika kama nani?
 
Back
Top Bottom