Kutokana na mfukoko wenu kutoboka, ni kheri mukamchukua japo thamani yake haifikii kiasi hicho cha pesa.Maddison hana ukali huo. Mimi binafsi naona Arsenal tunacheza kamari hapa ya kuwaridhisha mashabiki.
Arsenal ina shida na mtengeneza nafasi Maddison ana takwimu gani za kumfanya awe mtengeneza nafasi wa kumlilia? Na bahati mbaya sana mtengeneza nafasi kwa miaka hii wa kiingereza amekua Arnold, beki wa Liva, na Kane mshambuliaji.
Kwangu mimi huyu siyo mchezaji wa kuuzwa milioni 70 ila hapa ndiyo tunarudi palepale tunaposema "Ben White hana thamani ya milioni 50 ila Brighton wanaamini hiyo ndiyo thamani yake, Lukaku hana thamani ya milioni 150 ila inter wanaamini hiyo ndiyo thamani yake, Grealish hana thamani ya milioni 100 ila Villa wanaamini hiyo ndiyo thamani yake"
Arsenal ikipata winger mwenye speed, finnishing na skills hata za level ya Mahrez niamini mimi pengo la Maddison halitoonekana.
Mkuu Maddison unamkataatu ila kwa Arsenal ilipo fikia inahitaji mtu kama yeye ili murudi kwenye ubora wenu.Ikatokea amekuja tutajionea
Kwani nyie mmefuzu ucl.?Wakati huo Kane anakimbia Spurs kwa kuwa hawajafuzu UCL kweli london is red
Unavyokua unajua Timo Werner kaja ni kwavile RB wanakupa taarifa?Intermilan siku hiz wanaongea na wewe?
Mpira wa siku hizi umebadilika.Mkuu Maddison unamkataatu ila kwa Arsenal ilipo fikia inahitaji mtu kama yeye ili murudi kwenye ubora wenu.
Deal la lukaku likikamilika, msahau deal la lautaroMaddison would be open to move to Arsenal, Sky Sports wanareport
Wanafki njooni tena muone ukubwa wa Arsenal, watu wanaacha European football kwa ajili ya Gunners.
Auba
Pepe
Partey
Now, Maddison & Lautaro
aston vila wanamsajil bailey nyie et lokonga[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mshuke daraja2 nyie matakataka ya londonMtu mzima unamiliki Smartphone halafu hujui kuandika na haujisumbui kujua, inatia ukakasi sana.
kwa kua mmefuzu kucheza carabao cup ndo unasema london is red[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kwely ii tm n takatakaWakati huo Kane anakimbia Spurs kwa kuwa hawajafuzu UCL kweli london is red
Sasa Bailey ana nini?aston vila wanamsajil bailey nyie et lokonga[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mshuke daraja2 nyie matakataka ya london
Lukaku replacement yake Duvan Zapata wa Atalanta, Lautaro ana mkataba hadi 2023 ni rahisi kuuzwaDeal la lukaku likikamilika, msahau deal la lautaro
uwezekano wa kumsajili Maddison ni mdogo kwa sasa, nadhani 1:5, jamaa wanataka Pound 70m cash. kitu ambacho ni kugumu
Kuna kitu nafikiria, tunachoweza kutumia kwenye jukwaa letu la Arsenal, ambacho kitazifanya takataka kama huyu wasiwe wanaingia kwenye jukwaa letu kuonyesha ujinga wao. Stay put, naandaa modality.Matakataka ya London naona mnaenda kupigwa kwa Madison
Kuna kitu nafikiria, tunachoweza kutumia kwenye jukwaa letu la Arsenal, ambacho kitazifanya takataka kama huyu wasiwe wanaingia kwenye jukwaa letu kuonyesha ujinga wao. Stay put, naandaa modality.
Una matatizo ya akili kumbeMkuu hama hiyo timu ndio maana umezeeka
Ukiwa unaandaa modality usisahau kuwa London is blue[emoji23]View attachment 1880800
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ukiwa unaandaa modality usisahau kuwa London is blue[emoji23]View attachment 1880800
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Bakayoko akimsokomeza Thomas.