Umeandika ukweli ila kwangu bora acheze Abraham kuliko hii mbumbumbuTimo werner anamsaada mkubwa kuliko mchezaji yoyote wa Chelsea pale mbele,game nyingi ambazo Timo amecheza Chelsea imepata ushindi kwenye game nyingi.
Faida ya Timo Werner
Japo Werner sio clinical finisher mzuri lakini faida zake ni
1.Anatengeneza assist nyingi
Ndio mchezaji mwenye assist nyingi kuliko mchezaji yoyote wa Chelsea
2.Anatengeneza pace
Kupitia kasi yake na jinsi anavyojiposition inafanya kutengeneza nafasi za wazi kwa machezaji wenzake kufunga au kufanya shambulio la hatari rejea goal la Kai havert dhidi ya Man city kwenye fainali ya UEFA bila movement aliyoifanya Werner goal la Kai havert lisingetokea na amekuwa anafanya Hili kwa mechi nyingi Sana.
Harvertz hakufaa kucheza kitimu km Chelsea, alifaa acheze timu km Arsenal, Real Madrid ,Barcelona timu zenye historia ya kueleweka.Kwahiyo la Chelsea halimfai? Matakataka katika ubora wenu
Itakuwa ni uzwazwa mchezaji kama Havertz kuchezea Arsenal.Tukiacha ushabiki werner hana maajabu, Mchezaji ni Kai havertz huyu soka la Arsenal lingemfaa sana.
Nyie vipi hamjapata mmiliki tajiri wa kiarabu?Harvertz hakufaa kucheza kitimu km Chelsea, alifaa acheze timu km Arsenal, Real Madrid ,Barcelona timu zenye historia ya kueleweka.
Chelsea na Everton zina tofauti gani? utofauti ni Chelsea imechukua UEFA basi kitu ambacho hata Everton ikipata mmiliki tajiri wa kiarabu leo inaweza kukifanya.
Harvertz hakufaa kucheza kitimu km Chelsea, alifaa acheze timu km Arsenal, Real Madrid ,Barcelona timu zenye historia ya kueleweka.
Chelsea na Everton zina tofauti gani? utofauti ni Chelsea imechukua UEFA basi kitu ambacho hata Everton ikipata mmiliki tajiri wa kiarabu leo inaweza kukifanya.
Nyie vipi hamjapata mmiliki tajiri wa kiarabu?
Mashabiki wa hii timu ni takataka.
Binafsi mashabiki wa Chelsea bongo nawaonaga kama washamba waliochelewa kuujua mpira, mnashabikiaje Chelsea timu ya 2005 au mpira mmeanza kushabikia 2010, vinginevyo ni mamluki mliohama timu.We kweli takataka
Hupati ushindi Kwa Burnley unasema upo serious[emoji23]Brentford atakaa na Cheltako huyu anakalishwa iko wazi hanaga jipya wauni tukiwa Serious.
Usiwalazimishe washabikie timu ipi sasa[emoji23]Binafsi mashabiki wa Chelsea bongo nawaonaga kama washamba waliochelewa kuujua mpira, mnashabikiaje Chelsea timu ya 2005 au mpira mmeanza kushabikia 2010, vinginevyo ni mamluki mliohama timu.
Hata aibu Hauna mkuu!? Acheze arsenal timu inamaliza nafasi ya kumi😀😀.Harvertz hakufaa kucheza kitimu km Chelsea, alifaa acheze timu km Arsenal, Real Madrid ,Barcelona timu zenye historia ya kueleweka.
Chelsea na Everton zina tofauti gani? utofauti ni Chelsea imechukua UEFA basi kitu ambacho hata Everton ikipata mmiliki tajiri wa kiarabu leo inaweza kukifanya.
Nadhani hata yeye mwenyewe angeikataa hiyo offer ya kujiunga na arsenal.Tukiacha ushabiki werner hana maajabu, Mchezaji ni Kai havertz huyu soka la Arsenal lingemfaa sana.
Hii ni mara ya kwanza Arsenal kua nje ya top six kwa miaka zaidi ya 25.Hata aibu Hauna mkuu!? Acheze arsenal timu inamaliza nafasi ya kumi😀😀.
Arsenal ni genge la wavuta bangi tu
Hebu tupe history ya arsenal.
Kai ni kiungo.Nadhani hata yeye mwenyewe angeikataa hiyo offer ya kujiunga na arsenal.
Arsenal genge la wavuta bangi tu.
Sasa Kama yupo kwenye position ya kutoa assist kwanini asitoe assist mkuu!?.Kai ni kiungo.
Ila naona kawa mshambuliaji. Nafikiri ni kuanzia mechi nne za mwisho za msimu uliopita amechezeshwa mshambuliaji.
Chelsea haina mshambuliaji? Nasikia mnasema mshambuliaji wenu ana mchango mkubwa kwakua anatoa assisst. Kazi ya mshambuliaji ni kutoa assisst?
Hivi unajua wewe ni shabaki mandazi Kabisa.Hii ni mara ya kwanza Arsenal kua nje ya top six kwa miaka zaidi ya 25.
Katika hiyo miaka 25 Chelsea haijawa ndani ya top six mara ngapi?
2015/ 16 chelsea ilishika nafasi ya ngapi?
Nyie arsenal si mna washambuliaji, je mnashinda mataji gani!?.Kai ni kiungo.
Ila naona kawa mshambuliaji. Nafikiri ni kuanzia mechi nne za mwisho za msimu uliopita amechezeshwa mshambuliaji.
Chelsea haina mshambuliaji? Nasikia mnasema mshambuliaji wenu ana mchango mkubwa kwakua anatoa assisst. Kazi ya mshambuliaji ni kutoa assisst?
Kameze panado maana kila siku maumivu.Binafsi mashabiki wa Chelsea bongo nawaonaga kama washamba waliochelewa kuujua mpira, mnashabikiaje Chelsea timu ya 2005 au mpira mmeanza kushabikia 2010, vinginevyo ni mamluki mliohama timu.
Umecheza fainali ngapi za UCL na umebeba mara ngapi?Hii ni mara ya kwanza Arsenal kua nje ya top six kwa miaka zaidi ya 25.
Katika hiyo miaka 25 Chelsea haijawa ndani ya top six mara ngapi?
2015/ 16 chelsea ilishika nafasi ya ngapi?
Hawa wwe mjanja na arsenal yako ya viwanda iliyoanzishwa1700.Binafsi mashabiki wa Chelsea bongo nawaonaga kama washamba waliochelewa kuujua mpira, mnashabikiaje Chelsea timu ya 2005 au mpira mmeanza kushabikia 2010, vinginevyo ni mamluki mliohama timu.