Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hapa hamna timu kabisa, shuti kwenye target ni zero mpaka sasa. Ase8 ni matakataka tu
 
Katika mechi ya leo ya Arsenal na chelsea hili goli limekataliwa.

 
Vijana wetu wako very talented, wapate confidence kwanza, Mikel anafanya good signings

Leno leo kaonesha wazi ana tatizo kwenye kuanzisha mipira from the back.
 
Brentford atakaa na Cheltako huyu anakalishwa iko wazi hanaga jipya wauni tukiwa Serious.
 
Nyie Asenane ndio maana mnaitwa matakataka ya London, yaani hamjielewi kabisa ni ma mbumbumbu.
Brentford atakaa na Cheltako huyu anakalishwa iko wazi hanaga jipya wauni tukiwa Serious.
 
Tukiacha ushabiki werner hana maajabu, Mchezaji ni Kai havertz huyu soka la Arsenal lingemfaa sana.
Timo werner anamsaada mkubwa kuliko mchezaji yoyote wa Chelsea pale mbele,game nyingi ambazo Timo amecheza Chelsea imepata ushindi kwenye game nyingi.

Faida ya Timo Werner

Japo Werner sio clinical finisher mzuri lakini faida zake ni

1.Anatengeneza assist nyingi

Ndio mchezaji mwenye assist nyingi kuliko mchezaji yoyote wa Chelsea

2.Anatengeneza pace

Kupitia kasi yake na jinsi anavyojiposition inafanya kutengeneza nafasi za wazi kwa machezaji wenzake kufunga au kufanya shambulio la hatari rejea goal la Kai havert dhidi ya Man city kwenye fainali ya UEFA bila movement aliyoifanya Werner goal la Kai havert lisingetokea na amekuwa anafanya Hili kwa mechi nyingi Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…