White kaja tu kuziba pengo la David Luiz. Wanasema anajua kutoa pasi nzuri hivyo ni mzuri kwa kuanzisha mashambulizi kutoka golini kwetu. Tatizo ni tukifika kwenye box la adui hatuna ubunifu. Ndio maana naona Maddison atafaa maana ana vichenga vya kasi na atawapa changamoto mabeki kwenye no.10. Bado sina imani na Smith Rowe kubeba jukumu hilo kwa sasa. Pia tunahitaji no.8 wakupartner na Partey kama Thomas akicheza no.6. Elneny kwenye kupeleka mipira mbele bado changamoto.Ulinzi ulishakua imara.
Tatizo kushambulia na kufunga. Hapo ndiyo anaingia bwana White
Kepa.......Wazee wa kupigwa pesa ndefu
Odegaard anaweza kurudi.White kaja tu kuziba pengo la David Luiz. Wanasema anajua kutoa pasi nzuri hivyo ni mzuri kwa kuanzisha mashambulizi kutoka golini kwetu. Tatizo ni tukifika kwenye box la adui hatuna ubunifu. Ndio maana naona Maddison atafaa maana ana vichenga vya kasi na atawapa changamoto mabeki kwenye no.10. Bado sina imani na Smith Rowe kubeba jukumu hilo kwa sasa. Pia tunahitaji no.8 wakupartner na Partey kama Thomas akicheza no.6. Elneny kwenye kupeleka mipira mbele bado changamoto.
Kepa.......
Odegaard anaweza kurudi.
Hua inatokea kutomkubali mchezaji.Mtanisamehe, sikumkubali sana during his stay at Arsenal
Tupate CAM mzuri, Right full back na GK kama Ramsdale tunaenda kuchallenge the title. Hatuna mashindano mengi ifike time hata FA tunajitoa tufocus na ligi tu.Hua inatokea kutomkubali mchezaji.
Ila ndiye chance creator mkubwa tangu amefika pale.
Ni kwamba haujui majina yanavyoandikwa au !!!Mzee wakazi, wewe hujengi bali unabomoa.
Nikiikumbuka Arsenal ya kina Dasilva, Viera, Henry, Ashley Cole, Lijumbag, Wiltod, kolo ture, Becampu, huwa najipa jibu kua Arsenal inakwenda kua kua kama Sandaland, haki ya mama.
Sina imani na huyu dogo kwa kweli.Odegaard anaweza kurudi.
Nilitarajia zaidi kutoka kwake.Sina imani na huyu dogo kwa kweli.
let's hope for the best. Kama anatengeneza vizuri basi umaliziaji uimarike. tutakuwa kwenye nafasi nzuri zaidiNilitarajia zaidi kutoka kwake.
Hata hivyo mpira wa siku hizi ni takwimu. Kwa muda aliofika amewazidi hata aliowakuta kwa kutengeneza nafasi za magoli.
Arsenal kuna watu watano wanaoweza kukaa kama washambuliaji. Arteta alimpa namba Auba muda wote hata wakati ambao tulihitaji damu mpya hivyo hilo deni ni la kulipwa msimu huu.let's hope for the best. Kama anatengeneza vizuri basi umaliziaji uimarike. tutakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi
Hatuna haja sana ya kumuondoa Laca kwenye kikosi kwa maoni yangu. Bora aondoke Nketiah, akija kuwa mzuri kwenye timu ingine tutamnunua tena huko mbeleni. Nataka midfielders na no.10 wabunifu na wakali tu sasa. Kwa ushambuliaji kuna Auba, Laca, Martinelli na Balogun. Hao wanatutosha.Arsenal kuna watu watano wanaoweza kukaa kama washambuliaji. Arteta alimpa namba Auba muda wote hata wakati ambao tulihitaji damu mpya hivyo hilo deni ni la kulipwa msimu huu.
Pre season bado zinaonyesha Auba na Laca bwana laca ni clinical kuliko Auba. Msimu uliopita nafikiri Laca ndiye top scorer wa Arsenal. Akiuzwa nitakumbuka kocha mpya wa Simba alipofika akamuuza mshindi wa kiatu cha dhahabu kwenda Yanga akidai hana stamina, alipofika Yanga akachukua tena kiatu cha dhahabu msimu huo.