Me wameni furahisha pale kwa Kokoko tu, hivi Kokoko si viatu vya mchuchumio hivyo!Wachezaji wa Arsenal bhanaety Lokonga
Yani jina tuu unaona kabisa hapa hatuna mchezaji Yan tumepigwa jumla
Hicho kitu mkuu sahau, tena sahau kabisaa.Kifupi kila shabiki wa mpira mpaka wachezaji tunaowatamani wanatuona hatuna ambition, tupo tupo tu, kwa kweli kipenda roho hula nyama mbichi, ila ndiyo timu yetu, tajiri mpaka board hovyo, lini itatokea revolution pale ya kufa mtu turudi kuwa contenders of titles tena?!
Wewe tunakupiga nje ndani next season, sumbuka humu ila elewa kipigo hukikwepi.Hicho kitu mkuu sahau, tena sahau kabisaa.
Binafs nawapeni misimu mitatu munashuka daraja.
Ume maliza nafasi ya ngapi msimu ulio isha?Wewe tunakupiga nje ndani next season, sumbuka humu ila elewa kipigo hukikwepi.
Kushuka daraja ni ngumu kwa Arsenal ila sasa kuwemo katika top 5 hapo ndipo tutakosekana Labda ngoja tuone watasajili wakali wangapi wenye ubunifu hapo kati na kule mbele!!!Hicho kitu mkuu sahau, tena sahau kabisaa.
Binafs nawapeni misimu mitatu munashuka daraja.
Kuna sajili mbili za nguvu zinakuja, kuweni na amani. my only worry ni kutokuwa na kikosi kipana this seasonKushuka daraja ni ngumu kwa Arsenal ila sasa kuwemo katika top 5 hapo ndipo tutakosekana Labda ngoja tuone watasajili wakali wangapi wenye ubunifu hapo kati na kule mbele!!!
Ni kweli wachezaji chipukizi ni wazuri kama ukichanganya na wazoefu unapata timu yenye balance nzuri ila sio uweke wote wawe chipukizi ndani ya kikosi utaumia.Chipukizi ndio wataturudisha UEFA, sio hao wazoefu, wanalipwa pesa mingi Afu impact wanaleta watoto kina Rowe na Saka..
Juzi Arteta kawatupia kijembe anasema kule mbele kwa quality waliyonayo wajitathimini nafasi wanazopoteza..
Ngoja tuone muda unaongea kama tukiwapata hao wachezaji wawili yaani Madison na wengineo wenye uzoefu hapo kati na mmoja kule mbele.Kuna sajili mbili za nguvu zinakuja, kuweni na amani. my only worry ni kutokuwa na kikosi kipana this season
Tatizo hakuna mchezaji wa maana atakae hitaji kuja Arsenal.Ngoja tuone muda unaongea kama tukiwapata hao wachezaji wawili yaani Madison na wengineo wenye uzoefu hapo kati na mmoja kule mbele.
Tutawasha moto msimu ujao!!!!
Hilo matajiri wa Arsenal wametaka wenyewe sasa ngoja tuone muda uliobakia wa dirisha la usajili kuna nini tutakachovuna!!!Tatizo hakuna mchezaji wa maana atakae hitaji kuja Arsenal.
Mkuu nimekupmTatizo hakuna mchezaji wa maana atakae hitaji kuja Arsenal.
Kwanza tuwe na kikosi bora(1st 11) kisha mambo ya kikosi kipana yatakuja baadae, Liverpool ilitamba ikiwa na kikosi bora cha wachezaji 11, kwengine ni akili ya kocha ya kuzungusha zungusha wachezaji. Na kuombea majeruhi yasikukamate.. Hapa ndio ukocha wa mtu unapoonekana.Kuna sajili mbili za nguvu zinakuja, kuweni na amani. my only worry ni kutokuwa na kikosi kipana this season
Madisson huyu mwenzenu wala sina imani nae, naiona flop hii msimu ujao kama tutasajiri, wachezaji wa kiingereza bwana, aahh!! Hawana dhamana. Ni aidha wazungurukwe na wachezaji bora au wacheze timu za midtable huko huko.. Ni wachache saana walioonyesha uwezo timu kubwa haswa haswa hawa viungo washambuliaji.Ngoja tuone muda unaongea kama tukiwapata hao wachezaji wawili yaani Madison na wengineo wenye uzoefu hapo kati na mmoja kule mbele.
Tutawasha moto msimu ujao!!!!
Sure, wachezaji wa kingereza majanga Mimi huwa namuamini Grealish tuMadisson huyu mwenzenu wala sina imani nae, naiona flop hii msimu ujao kama tutasajiri, wachezaji wa kiingereza bwana, aahh!! Hawana dhamana. Ni aidha wazungurukwe na wachezaji bora au wacheze timu za midtable huko huko.. Ni wachache saana walioonyesha uwezo timu kubwa haswa haswa hawa viungo washambuliaji.
Mchezaji aliyeringa vile haina haja ya kumfuata. Ndiyo maana hata Zaha Arsenal hua hawadeal naye pamoja na yeye kulazimisha kuja ArsenalKwa Aouar sijui kama tutampata maana inasemekana Arsenal wamekata mawasiliano huko na sasa tottenham wanataka kufanya swap deal.. Ngoja tusubiri tuone
Kinabo mwingine huyo. Bora Kane, misimu 3 mfululizo scoring 20+ goalsSure, wachezaji wa kingereza majanga Mimi huwa namuamini Grealish tu
Ni kwa sababu mkataba unakaribia kuisha ila hata hivyo na goal contribution imeshuka. Anapitwa na MaddisonBahati mbaya sijamfuatilia Aouar, kinachonipa mashaka ni why has his price dropped significantly compared to last season?
Maendeleo ya Timu yetu yamefanya wengi wetu kupunguza kuja kwenye uzi wetu.
Power is not permanent, huu ni muda wa kuisuka timu upya, haijalishi tutahitaji miaka 2 au 3 zaidi.
Hongereni kwa nyote mliotuwakilisha hapa bila kuchoka.
Chelsea fans naona mmejua kutamba na kutukeraa kwenye jukwaa letu baada ya kubahatisha UEFA, hongera kutuchangamsha.
Kumbukeni, tunarudi kwa kishindo
We are Gunners forever
Usijali Mkuu, zamu yetu ya kulibeba ni hapo 2023 tu ππNenda na ww kabahatishe