Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Mechi ya jana haiwezi kukupa kipimo chochote cha ubora wa timu au mchezaji, ingawaje kwa jana I was impressed by Pepe, Balogun, Partey ESR, Mari, kuna Vitoto viwili vinaonyesha vikipata muda wa kucheza vina kitu (Harry Clarke na Jack Henry Francis). hasa hiki cha mwisho.
Bahati mbaya wachezaji wote wanaotarajia kuondoka walikuwa mzigo jana.
Tusubiri Jumamosi against Rangers.
Bahati mbaya wachezaji wote wanaotarajia kuondoka walikuwa mzigo jana.
Tusubiri Jumamosi against Rangers.
