Okonko si ni msanii wa kenya
Hii timu inaenda kua Sandaland miaka si mingi.
Tueleweshe, mechi ya kirafiki maana yake ni nini?Utakua hauelewi maana ya mechi za kirafiki
Jamani Arsenal, nini sasa hichi munafanya?
Huyo jamaa jina lake linafana na Kokoko, vile viatu vya akina dada wenye vigimbi vya miguuni.OKONKWO kama OKONKWO![]()
Nyinyi united mmeifunga barcelona mara ngapi katika mechi za kirafiki?Tueleweshe, mechi ya kirafiki maana yake ni nini?
Mkuu tafuta timu nyingine ya kushabikia, hii Arsenal usitegemee itakaa sawa.
Kwani kwenye mashindano makubwa hatukuwahi kuwafunga?Nyinyi united mmeifunga barcelona mara ngapi katika mechi za kirafiki?
Hapana isipokua mechi za kirafiki hutumika kupima muunganiko wa wachezaji. Ndiyo maana hizi games hua hazina kikomo cha sub kwahiyo kikosi kizima kinaweza kupata nambaKwani kwenye mashindano makubwa hatukuwahi kuwafunga?
Ushasahau alicho kifanya Paul, pale Nou camp mwaka 2008?
Unataka uniambie mulidharau game, sio?
Hapana isipokua mechi za kirafiki hutumika kupima muunganiko wa wachezaji. Ndiyo maana hizi games hua hazina kikomo cha sub kwahiyo kikosi kizima kinaweza kupata namba
Mfano jana Arsenal kipa aliyekuepo ni Okonkwo na Macey.
Kingine hizi mechi hutumika kuvuna mashabiki, ndiyo maana utakuta timu kubwa ni mara chache kukutana katika mechi za kirafiki badala yake utakuta zinacheza na timu hujawahi zisikia.
Sijui kama umenielewa.
Nimekuelewa mkuu.Hapana isipokua mechi za kirafiki hutumika kupima muunganiko wa wachezaji. Ndiyo maana hizi games hua hazina kikomo cha sub kwahiyo kikosi kizima kinaweza kupata namba
Mfano jana Arsenal kipa aliyekuepo ni Okonkwo na Macey.
Kingine hizi mechi hutumika kuvuna mashabiki, ndiyo maana utakuta timu kubwa ni mara chache kukutana katika mechi za kirafiki badala yake utakuta zinacheza na timu hujawahi zisikia.
Sijui kama umenielewa.
Arsenal hata awe mmbovu kama chupi la mtumba, lakini hafungwi na Chelsea.Hao wachezaji wenu wa mia mia ndio mnategemea wawape ubingwa? mna chekesha sana na tarehe 1 Agosti mna Chelsea.
Huyo dogo kapandishwa toka timu B. Dogo ana balaa hatariJamani Arsenal, nini sasa hichi munafanya?
Sisi tunasajili Sancho, nyinyi munasajili Okonko sijui koko, alafu ndio museme munapigania ubingwa?
Na Arteta alivyo mpuuzi, heti katabasam kabisa utadhani kasajili mchezaji wa maana.
Nawapa misimu mitatu Arsenal munashuka daraja, haki ya mama.
Deal la Locatelli count it dead, deal la white 50/50 because of Albrighton demands, deal la Lokonga 99.9% done, amechelewa kutangazwa kama mchezaji wa Arsenal kwa sababu ya restriction za Covid-19. Most likely Willock is leaving because of Lokonga's arrival. Deal la Neves badobado. Maddson badobado kwa sababu Leicester wanataka hela ndefu, sijui kama itawezekana, lakini dogo namkubali sana.Huyo dogo kapandishwa toka timu B. Dogo ana balaa hatari
Arsenal hata awe mmbovu kama chupi la mtumba, lakini hafungwi na Chelsea.
Hiyo tareh 1 Agost utakuja kutoa maneno kama ya mashabiki wa Simba wanapo pakuliwaga na Wananchi.
Simba wakisha pakuliwa na Wananchi utawasikia " Tunatengeneza timu ya kuchukua ubingwa sio kuifunga Yanga" (kwa sauti ya puani) utadhani huo ubingwa ni wao tu ndio wamewahi chukua.