Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,077
- 7,420
Dah Ake mzee mbona tutajaza LCB tupu. Gabriel, Ake na pablo.Ripoti zinasema Arsenal ikimkosa White inamtaka Nathan Ake.
Dah Ake mzee mbona tutajaza LCB tupu. Gabriel, Ake na pablo.Ripoti zinasema Arsenal ikimkosa White inamtaka Nathan Ake.
Mi nashindwa elewa kwanini CB na siyo full backs. Lokonga ana profile nzuri katika maandishi tusubiri tuone.Dah Ake mzee mbona tutajaza LCB tupu. Gabriel, Ake na pablo.
You are an idiot
😂😂😂 Kweli ngoma ya watoto haichezwi na wakubwa.
Ripoti zinasema Arsenal ikimkosa White inamtaka Nathan Ake.
Mchezaji wa shilingi 25 huyo hana kasheshe yoyoteWelcome to our family Nuno. View attachment 1848488View attachment 1848489
Hapo kwa Ake kidogo mutakua mumefanya la maana.Ripoti zinasema Arsenal ikimkosa White inamtaka Nathan Ake.
La maana kivipi? Mi namuona wa kawaida tu. Na hata hivyo Arsenal haina shida na beki wa kati inahitaji mabeki wa pembeni na kiungo mshambuliaji labda na mshambuliaji mmoja na mmiliki mpya kwingine kote hapavuji sana.Hapo kwa Ake kidogo mutakua mumefanya la maana.
Haahaah Tunashuka AF tunakuzaba nje ndani.Msimu ujao mnaenda kushuka daraja rasmi.
Haahaah Tunashuka AF tunakuzaba nje ndani.
We'll win comfortably in the first two Games (Brentford, Chelsea)
Utakua hauelewi maana ya mechi za kirafiki
Utakua hauelewi maana ya mechi za kirafiki