Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,094
- 7,464
Lokonga na Nuno tiyari, Ben white naye uhakika ngoja Euro imalizike tuoneTraining ilitakiwa inaanza huku umekamilisha sajili kama tatu. Mpaka sasa hivi hata mmoja bado. mwishoni wata-panic na kuanza kutafuta, hapo ndio watapigwa hela ndefu.
