Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Screenshot_2021-06-30-10-44-56-86.jpg
 
Uko sahihi. Tatizo yeye mwenyewe anataka kuondoka
Hivi Arsenal muna tatizo gani, mbona wachezaji wengi hulazimisha kuuzwa?
Anza na Fabrigaz
Song
Helbu
Henry
Nasasa ni huyo Xaka zulu.
Tatizo nini nyie
 
Hivi Arsenal muna tatizo gani, mbona wachezaji wengi hulazimisha kuuzwa?
Anza na Fabrigaz
Song
Helbu
Henry
Nasasa ni huyo Xaka zulu.
Tatizo nini nyie
Hivi manchester united mna tatizo gani, mbona wachezaji wengi hulazimisha kuuzwa?
Anza na Beckham
Van Nisteroy
Tevez
Ronaldo
Na sasa Lingard anataka abaki Westham.
Tatizo nini nyie
 
just to remind you, today is 30 June wachezaji wafuatao wamemaliza mkataba na Arsenal:
Dani Ceballos
David Luiz
Martin Odegaard
Mat Ryan
 
Nuno Tavares’ move to Arsenal is ‘imminent’ - he will be an Arsenal player ‘in the next few hours’. An announcement is expected ‘shortly’ after Arsenal reached an agreement on Tuesday. Benfica’s financial year ends today & want the income included in current accounts.
 
Hahaha labda hakuna mtu wa kuset release clause ila ni ajabu, mimi nilitarajia dau lianzie 25M
Inasikitisha sana kwa kweli!.. Xhaka ni mchezaji wa kuanzia paund m25 hadi m35 hapo.. Kuna mapungufu makubwa sana kwenye management team ya Arsenal
 
Hii ndo Ile timu inayosajili wachezaji wa pound million 8???
Hivi Ile pesa ya Pepe mlishakamilisha kulipa?
 
Nimefarijika kuona mmefanya official approach kwa Locatelli atawasaidia sana kwamujibu wa Fabrizio romano
 
Vipi kama ni mchezaji mwenyewe amelazimisha kuondoka,utalazimisha dau kubwa?.
Kwa kawaida timu inaweza kudai dau kubwa kama mkataba wa mchezaji husika bado una maisha marefu na waliweka release clause inayohitajika kufikiwa.

Ikatokea mchezaji anafosi kuondoka hivyo hivyo makocha wengi humpiga benchi huyo mchezaji kwa mkataba wake wote uliobakia.

Kwa Xhaka inawezekana release clause haikuepo au iliyopo ndiyo hiyo.
 
Renato Sanchez? Hahaha 😅 amewahi kucheza Swansea City alifanya nini? Amewahi kuwa Bayern akizungukwa na kikosi bora alifanya nini? Benfica amefanya nini?
 
Renato Sanchez? Hahaha 😅 amewahi kucheza Swansea City alifanya nini? Amewahi kuwa Bayern akizungukwa na kikosi bora alifanya nini? Benfica amefanya nini?


Kwa kuzingatia tulipo kiuchumi n.k. unadhani mid gani anafaa ukiachilia Lokonga ambaye tayari yupo box
 
Tuwe na huruma jamani kwa fans wa hii clabu wanapitia wakti mgumu
 
Back
Top Bottom