Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Niliangalia ratiba kwa Sofascore nikakuta Brentford vs Arsenal na Arsenal inaonyesha imepewa odds 2+

Odds 2+ dhidi ya timu iliyopanda daraja.

Simply kikiangaliwa kikosi cha Arsenal na Brentford haionekani tofauti kubwa zaidi ya Arsenal kua kwenye EPL kwa muda mkubwa.

Bila mabadiliko ya lazima tutakutana nao second round huku Arsenal ana odds 3+ na Brentford 1.

Timu inashindwa kumbakisha Emile na hapo Emile anasema anatamani amalize maisha ya mpira Arsenal isingewezekana kwa Xhaka anayetaka kuondoka. Wolves wakimuuza Rui tusishangae wakamfuata Leno na Leno akakubali kuondoka.
Nadhani hizo odds zimetolewa kumaanisha kama Arsenal, kwa kikosi alichonacho leo, angekuwa anacheza mechi hiyo sasa, nafasi ya ushindi ingekuwa kama odds zilivyo. But after team overhaul and recruitment, the odds will change.
Nadhani timu ina lengo la kumbakiza, that is why the price tagged on a player is prohibitive $50m. Lakini nadhani pia kuna uwezekano mchezaji anaweka pressure ya kuuzwa baada ya kuona overhaul ya kikosi inaweza ku-limit muda wake wa kucheza.
 
No Bro ofa ishakuja ya 18M kwa Xhaka na imekubaliwa (According to online sources) isipokua kwa Emile waligoma 25M na Villa wakarudi na 30M na Arsenal ikagoma tena.

Kinachotisha ni kwamba Arsenal inashindwa kumsainisha mkataba Emile huku Emile alishaweka wazi anachotaka ni kubaki Arsenal.

Inashangaza kidogo. Imagine angesema anaondoka.
 
$50m niliyoongelea ni ya Smith Rowe. Xhaka I know is leaving, lakini tukipata replacement ya wachezaji kama Madddison, Renato Sachess, Bissouma, nafasi ya Kati itakuwa imekaa vizuri if we manage to get two of those.
 
Nakubaliana na wewe kwamba mid inatakiwa kuimarishwa ila siyo kwa wote uliowataja.

Sanches alisajiliwa Bayern kisha akatolewa kwa mkopo ligi ya epl kwa timu midtable jina limenitoka Sanches alikua anawadharau wenzake wazi wazi bila kificho. Mimi naona ni sifa mbaya kwa pro.

Maddison siyo mbaya ila hana tofauti na Ceballos.

Bissouma ni Elneny ambaye ameaminiwa na kocha
 
Sanchess alikuwa Swansea, but mimi ni muumini kwamba binadamu ukosea na ujirekebisha, pengine hiyo tabia ilitokana na umri aliokuwa nao. sikubaliani na wewe kuhusu Madisson, ana kiwango kikubwa, labda ungesema anaandamwa na majeruhi
 
Ukiachilia weakness ya nidhamu Sanches ni enforcer mzuri.

Maddison anashindwa prove akicheza na timu kabaji jambo ambalo ndilo Arsenal linatusumbua. Kutokana na hilo kiukweli Sanches ni chaguo sahihi katika hao watatu.
 
$50m niliyoongelea ni ya Smith Rowe. Xhaka I know is leaving, lakini tukipata replacement ya wachezaji kama Madddison, Renato Sachess, Bissouma, nafasi ya Kati itakuwa imekaa vizuri if we manage to get two of those.
Ndugu yangu weeee.

Maddison?? Renato Sanchez?? Sijui kwa kweli kama wanaweza kubali kuja arsenal
 
Wanaweza kukubali kuSign ila sasa Pesa ipo, hapo tutegemee mchezaji kutoka Rennes au Metz, hivi kweli ht mchezaji wa Anderlecht tunaangaika kumpata kisa nini??

Ukifatilia sakata la Houssem aouar na Emi Buendia utagundua at times Edu na wenzie hawana Priorities.
 
Nakubaliana na wewe kwamba mid inatakiwa kuimarishwa ila siyo kwa wote uliowataja.

Sanches alisajiliwa Bayern kisha akatolewa kwa mkopo ligi ya epl kwa timu midtable jina limenitoka Sanches alikua anawadharau wenzake wazi wazi bila kificho. Mimi naona ni sifa mbaya kwa pro.

Maddison siyo mbaya ila hana tofauti na Ceballos.

Bissouma ni Elneny ambaye ameaminiwa na kocha
ukweli ni kwamba hakuna sababu ya kumuuza Xhaka kwa aina ya viungo tunaohusishwa nao, kwangu mimi naona Xhaka bado ni mchezaji muhimu na amekuwa ni moja ya wachezaji wetu bora kabisa recently. Tatizo la timu za uingereza zinawasikiliza sana wachambuzi (pundits) uchwara ambao wamekuwa wakimzonga sana Xhaka na Arsenal pindi akitokea gemu ameharibu. Xhaka ana makosa yake kama mchezaji, kitu ambacho kila mchezaji anacho. Tumeleta Thomas Partey tukaamini huenda tumepata tiba kwenye eneo la kiungo lakini wapi (bado hajathibitisha uwezo aliokuwa nao Atletico), Xhaka bado ameonekana ni bora pale katikati... nakuwa mgumu kuamini kwamba hao viungo tunaohusishwa nao wana kitu kikubwa kumzidi Xhaka. Kumuuza Xhaka ni kucheza kamali kuweka karata zote chini bila kuwa na akiba. Tunahitaji wachezaji kweli lakini Arteta tuwe nae makini zaidi huyu mtu, huyu jamaa mpaka Leo sijawahi kuelewa aina ya Mpira anaocheza. Hakuna timu duniani inaweza kuwa na mchezaji bora kwenye kila nafasi uwanjani. Na asilitegemee Hilo sana kwa Club kama Arsenal Kutokana na watu wanaomzunguka, Jenga Chemistry hata mchezaji mbovu ataonekana bora.
 
No Bro ofa ishakuja ya 18M kwa Xhaka na imekubaliwa (According to online sources) isipokua kwa Emile waligoma 25M na Villa wakarudi na 30M na Arsenal ikagoma tena.

Kinachotisha ni kwamba Arsenal inashindwa kumsainisha mkataba Emile huku Emile alishaweka wazi anachotaka ni kubaki Arsenal.

Inashangaza kidogo. Imagine angesema anaondoka.
Na usishangae Emilison akiuzwa ikifika ofa ya £35m, kwani hatukuona kilichotokea kwa Emiliano martinez !!
 
ukweli ni kwamba hakuna sababu ya kumuuza Xhaka kwa aina ya viungo tunaohusishwa nao, kwangu mimi naona Xhaka bado ni mchezaji muhimu na amekuwa ni moja ya wachezaji wetu bora kabisa recently. Tatizo la timu za uingereza zinawasikiliza sana wachambuzi (pundits) uchwara ambao wamekuwa wakimzonga sana Xhaka na Arsenal pindi akitokea gemu ameharibu. Xhaka ana makosa yake kama mchezaji, kitu ambacho kila mchezaji anacho. Tumeleta Thomas Partey tukaamini huenda tumepata tiba kwenye eneo la kiungo lakini wapi (bado hajathibitisha uwezo aliokuwa nao Atletico), Xhaka bado ameonekana ni bora pale katikati... nakuwa mgumu kuamini kwamba hao viungo tunaohusishwa nao wana kitu kikubwa kumzidi Xhaka. Kumuuza Xhaka ni kucheza kamali kuweka karata zote chini bila kuwa na akiba. Tunahitaji wachezaji kweli lakini Arteta tuwe nae makini zaidi huyu mtu, huyu jamaa mpaka Leo sijawahi kuelewa aina ya Mpira anaocheza. Hakuna timu duniani inaweza kuwa na mchezaji bora kwenye kila nafasi uwanjani. Na asilitegemee Hilo sana kwa Club kama Arsenal Kutokana na watu wanaomzunguka, Jenga Chemistry hata mchezaji mbovu ataonekana bora.
Xhaka akiuzwa naona sawa tu ili kocha aanze na project mpya, Xhaka sauti ya Arteta kashaizoea halafu Fans walishamkera na pia moyo wa Xhaka haupo Arsenal tena.

Kumbuka kuna kipindi alitaka kwenda Hertha Berlin ili tu kuikacha Gunners lakini Arteta akambakiza. Juzi nimemsoma anasema "Arsenal wanajua anachokitaka"

Maoni yangu...nahisi Xhaka anauzwa ili apatikane mtu wa kumUnlock Partey, imeonekana kama combo yao imefeli that's why Partey sio yule tuliyemtegemea, walau kidogo akicheza na Elneny anaperform. Lakini cha ajabu inaonekana Lokonga ndio ataiweza hiyo kazi, ngoja tuone.

Xhaka auzwe ila sio kwa £17m.
 
ukweli ni kwamba hakuna sababu ya kumuuza Xhaka kwa aina ya viungo tunaohusishwa nao, kwangu mimi naona Xhaka bado ni mchezaji muhimu na amekuwa ni moja ya wachezaji wetu bora kabisa recently. Tatizo la timu za uingereza zinawasikiliza sana wachambuzi (pundits) uchwara ambao wamekuwa wakimzonga sana Xhaka na Arsenal pindi akitokea gemu ameharibu. Xhaka ana makosa yake kama mchezaji, kitu ambacho kila mchezaji anacho. Tumeleta Thomas Partey tukaamini huenda tumepata tiba kwenye eneo la kiungo lakini wapi (bado hajathibitisha uwezo aliokuwa nao Atletico), Xhaka bado ameonekana ni bora pale katikati... nakuwa mgumu kuamini kwamba hao viungo tunaohusishwa nao wana kitu kikubwa kumzidi Xhaka. Kumuuza Xhaka ni kucheza kamali kuweka karata zote chini bila kuwa na akiba. Tunahitaji wachezaji kweli lakini Arteta tuwe nae makini zaidi huyu mtu, huyu jamaa mpaka Leo sijawahi kuelewa aina ya Mpira anaocheza. Hakuna timu duniani inaweza kuwa na mchezaji bora kwenye kila nafasi uwanjani. Na asilitegemee Hilo sana kwa Club kama Arsenal Kutokana na watu wanaomzunguka, Jenga Chemistry hata mchezaji mbovu ataonekana bora.
Uko sahihi. Tatizo yeye mwenyewe anataka kuondoka
 
Na usishangae Emilison akiuzwa ikifika ofa ya £35m, kwani hatukuona kilichotokea kwa Emiliano martinez !!
Acha tu. Timu iko hovyo.

Haina DOF anayejielewa wala mmiliki anayeshare maoni na mashabiki.
 
Daah ila kuondoka kwa paund M17 tu mimi inanishangaza sana.. Sijui kwa nini Arsenal tunauzaga wachejaji kwa pesa ndogo sana
Hahaha labda hakuna mtu wa kuset release clause ila ni ajabu, mimi nilitarajia dau lianzie 25M
 
Back
Top Bottom