OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Eti hii timu nayo inashindwa usajili na Aston villa dah!!Shabiki wa chelsea nimemaliza kusoma comments zenu za kulia-lia kuhusu usajili,
ifike mahali bingwa wa Ulaya awe na kipengele cha kupendekeza timu ya kushuka daraja kwa lazima na mimi nngependekeza arsenal ishuke daraja.
London is blue πππ
Arsenal ni kikundi cha watoto yatimaEti hii timu nayo inashindwa usajili na Aston villa dah!!
I hate this guy
Hahahah halafu mkitoka hapa mnakuja kwenye uzi wa ChelseaNdugu zangu, Neema inafunguliwa....
Mswedish Billionea ndugu Daniel EK anajiandaa kupandisha dau la kunyakua Asernal kwa dili linalokaribia kuwa la Pound Billion mbili.... ambapo mwanzoni alishindwa kutanguliza kishika uchumba cha pound Million moja point nane kugomba mwamba.
Pound Billion mbili ni sawa Tshs Trillion 6 na ushee hivi
Je tumpe huyu jamaa ama tukomae? je tutakomaa mpaka lini? maana Arsenal si hii jamani hata top four hatumo kweli?
Hahahaha castr mzee wa tizi club yenu gooners inatia hurumaNa nyinyi hampokei interns?
Arsenal last won the League in 2004.
Twitter was created in 2006
The fact is, no Arsenal fan has ever tweeted about winning the League
Wamesha koma basi, waonee huruma.Kama ata Buendia mnashidwa kumsajili, hilo kombe mtalisikia na kuliona kwenye runinga tu. Nyie kenge mnakera sana, kila siku mnataka kuwa wasindikizaji tu. View attachment 1809460
Pumbav
Na hawatokaa wapost
Umemsahau LokongaIwapo tutafanikiwa kuwapata Madison, Onana, White na Bisouma nina hakika msimu wa 2021/22 tutafurahi. Report from an impeccable source has told me KSE has given a green light to AFc to spend 250m pound on new signings.
Umemsahau Lokonga
kuna mtu alisema Arsenal na Arteta wanakuwa pamoja ni kweli kabisa, kocha anakomaa pamoja na wachezaji wake.