computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,039
Kula bata bro 😀😀😀😀Watu mna moyo migumu bado mnafuatilia mpira wa Arsenal?[emoji3][emoji3][emoji3] nawapa taadhari msije kupata ugonjwa wa moyo after 90 Minutes!nipo na Mke wangu mtarajiwa tunapata upepo mwanana Beach [emoji950]sitaki matatizo ya kiafya sababu ya Arsenal tutajulishana mpira ukiisha results zitakazopatikana
Bata gani mzee[emoji16] huyu anateketea moyoni...huoni magazeti anayoandika[emoji1]Kula bata bro [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wanashika nafasi ya 8 sio nafasi ya 7Hiyo nafasi ya 7 utadhani mmefunga nayo ndoa ya kudumu [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kama hamna mchezo mwingine unaofuatilia zaidi ya mpira itakuaje?Nilijua kuna watu watapotea humu after 90 Minutes [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli umekaa unategemea Arsenal atacheza michuano ya ulaya next season [emoji23][emoji23][emoji23] anyway siioni Arsenal kuwa competitive team next season bado siioni na sioni kama Kroenke ataweka hela yake ya usajli msimu uliopita tulikuwa wa 8 tukaenda Europa kibahati ,now tumekuwa wa 8 hatutacheza europa wala champions league next season, no improvement kwa misimu 2 iliyopita na ujao utakuwa hivi hivi otherwise ni kuhama timu au kupumzika kuangalia Arsenal akicheza kama Mimi binafsi nlivyoamua but napata results kwenye livescore
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]EUROPA haziendi timu wachezaji wake wanaliwa tigo
Unajiskiaje Sasa na Hali yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Spurs wamechomoa, Chelsea wamerudi top 4
Wewe hata iyo alhamis hutokuwepo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Chelsea tutakuwa nao Alhamisi kwenye futuhi
Sasa wewe shoga wa Arse8 ndo uliandika nini hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Malaya wa Chelsea hawawezi kuonekana huko, wameishapigwa 2-0
Kazi gani mkuu? Kuna kazi hii timu huwa inafanya hapo EPL?Tutaonana tena next season. Kabla ya hapo tutakuwa na preseason na majadiliano kibao juu ya transfers na mengineo. Kazi iendelee
Finishing the league safe...Celebrations....View attachment 1796145
Finishing in the top ten [emoji23]Finishing the league safe...
Its better than religation..Finishing in the top ten [emoji23]
Raha jipe mwenyewe. Kwa nini ufe na stress wakati 'it's just football. it's not that serious' 😀 😀Celebrations....View attachment 1796145