Nilichokiona kwenu ni kwamba Pamoja na Arteta kuwa wa ovyo kingine kinachowaangusha burget ya usajili Abramovic amemuambia Thomas Tuchel atampa paund million 230 za usajili wa msimu ujao japo msimu Huu tumesajili kwa pesa nyingi pia, unajua kwanini Abrahamovic anamwaga Tena pesa nyingi? ni kwasababu ameona tuna kocha sahihi na atakaeipa mafanikio mengi Chelsea.Hahahaha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na next season kocha ni Arteta ntashangaa shabiki wa Arsenal atakayesema tutainusa top 6 ntamshangaa sana timu ishajifia hii tusubiri Miujiza ya Mungu tutachukua miaka 50 kuona tunabeba kombe la EPL sababu bodi kwa ujumla haipo serious na mataji acha tuangalie wenzetu wanabeba makombe na I swear Tottenham na Manchester United kuna siku soon watabeba EPL tunashuhudia humu humu kwenye Jukwaa
🤣🤣🤙🤙🤙🤙Hii nimekuta sehemu nikajikutankucheka tu
Zouma was interviewed by a journalist why Hazard laughed that much after the win for chelsea.
JOURNALIST: "Why did Eden Hazard laughed that much after your win against him in the Champions league 2nd leg?
ZOUMA🗣️: "He asked me where was Willian so I told him that he went to Arsenal to win Champions league with Arteta"
Sa msimu si ushaisha?Hii nimeikuta FB jamaa anasema '' No single arsenal fan in the hall, only me''
Ndo alipotufikisha huyu bwanaView attachment 1781307View attachment 1781308
London laughingstock. SoonerNilichokiona kwenu ni kwamba Pamoja na Arteta kuwa wa ovyo kingine kinachowaangusha burget ya usajili Abramovic amemuambia Thomas Tuchel atampa paund million 230 za usajili wa msimu ujao japo msimu Huu tumesajili kwa pesa nyingi pia, unajua kwanini Abrahamovic anamwaga Tena pesa nyingi? ni kwasababu ameona tuna kocha sahihi na atakaeipa mafanikio mengi Chelsea.
Mimi nasema anaingia.Hahahaha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na next season kocha ni Arteta ntashangaa shabiki wa Arsenal atakayesema tutainusa top 6 ntamshangaa sana timu ishajifia hii tusubiri Miujiza ya Mungu tutachukua miaka 50 kuona tunabeba kombe la EPL sababu bodi kwa ujumla haipo serious na mataji acha tuangalie wenzetu wanabeba makombe na I swear Tottenham na Manchester United kuna siku soon watabeba EPL tunashuhudia humu humu kwenye Jukwaa
Hawa chelsea hawatoamini kitakachowatokeaLondon laughingstock. Sooner
Ukitaka kichekesho kama hiki bonyeza 15200 # okHawa chelsea hawatoamini kitakachowatokea
Liva ilivyokua stable wakachukua UCL wakachukua ligi halafu ndiyo wakaja kupigwa 7 na Aston Villa.Ukitaka kichekesho kama hiki bonyeza 15200 # ok
Endelea kubishana wakati wenzio wana mipango na mpira na kuona makombe makubwa wanabeba wakati sisi tunabishania top 6 ,wenzetu wanawazia makombe na kupata chances za kuplay champions leagueMimi nasema anaingia.
Nimescreenshot comment yako.
Wewe ndiye umesema haiingii top 6 ungesema kuhusu makombe ningetoa maoni yangu piaEndelea kubishana wakati wenzio wana mipango na mpira na kuona makombe makubwa wanabeba wakati sisi tunabishania top 6 ,wenzetu wanawazia makombe na kupata chances za kuplay champions league
Hahaha unataka awatrain Leo Leo halafu leo Leo wakacheze hahaha kwani ci mna Pepe, Willian na Luiz hawaezi hizi Mambo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwanza ela ya Pepe mlishamalizaga kulipa?Hichi kibonde chetu inawezekana kesho kikafurukuta maana kipo kwenye run nzuri sasa ili kukomeshana nashauri tuumize angalau wachezaji wao 6 ili wasichukue UEFA.
Maana dah... Anyway, seriously hizi mechi zilizobaki hazina maana kwa Arsenal hii ni kwakua zinahitaji uziombee timu zaidi ya 5 zilizo juu yako zipoteze mechi zilizobaki which will be weird.
That shit happens na bodi lazima itakagua kuona kama kuna upangaji matokeo.
Timu imeshindwa kuturn up muda ambao tulihitaji haswa matokeo. Members nikawa nawaambia ni ngumu kushinda kama timu haina watu wenye akili ya kwenda mbele. Zamani ilikua Rosicky au Cazorla akiunasa mpira waliobaki wenyewe wanajitanguliza mbele kwakua wanajua huyu mtu hapa hasimami analifuata box la mpinzani.
Sasa hivi hakuna mchezaji mwenye akili hiyo Guendouzi anajaribu kua hivyo lakini kuna vitu hana na hua navisema kila siku. Sasa hivi mid nzima ni pasi chini na pembeni sasa chelsea wana speed na wanafanya fluid movement kwahiyo hizo pasi za chini kwa kipa na za pembeni zitanaswa sana.
Ila tungekua na wachezaji watatu wenye uwezo wa kusonga mbele huku wanafanya one two ingekua mechi haifikirishi kwakua wao wanacheza 3 4 1 2 so thru balls na kaunta zingewamaliza.
Now kama Arteta anaweza watrain wachezaji hicho kitu leo wakakimaster kwa ajili ya kesho itakua sawa sana
Hahahaha Banda Lina mashabiki watatu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii nimeikuta FB jamaa anasema '' No single arsenal fan in the hall, only me''
Ndo alipotufikisha huyu bwanaView attachment 1781307View attachment 1781308
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna watu Wana dhambiHii nimekuta sehemu nikajikutankucheka tu
Zouma was interviewed by a journalist why Hazard laughed that much after the win for chelsea.
JOURNALIST: "Why did Eden Hazard laughed that much after your win against him in the Champions league 2nd leg?
ZOUMA[emoji2788]: "He asked me where was Willian so I told him that he went to Arsenal to win Champions league with Arteta"
Tena ndo hivi tunaenda beba UEFA na FA basi Roman atamwaga mpunga was kufa mtu.Nilichokiona kwenu ni kwamba Pamoja na Arteta kuwa wa ovyo kingine kinachowaangusha burget ya usajili Abramovic amemuambia Thomas Tuchel atampa paund million 230 za usajili wa msimu ujao japo msimu Huu tumesajili kwa pesa nyingi pia, unajua kwanini Abrahamovic anamwaga Tena pesa nyingi? ni kwasababu ameona tuna kocha sahihi na atakaeipa mafanikio mengi Chelsea.
Angalia huyu takataka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa chelsea hawatoamini kitakachowatokea
Unatufananisha sisi na looserfools ..kuwa Makini bwana mdogoLiva ilivyokua stable wakachukua UCL wakachukua ligi halafu ndiyo wakaja kupigwa 7 na Aston Villa.
Thom akasema timu yenu imeshakua stable na nyinyi mkatuambia timu ishakua stable. Hamjachukua chochote tangu mseme timu ipo stable na mshakula 5 za Westbromwich mshuka daraja.
3-1Unatufananisha sisi na looserfools ..kuwa Makini bwana mdogo
Kwani huyiogopi Chelsea?
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]