Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nyie tarehe 12 tutawatia kuni za maana mpaka mkimbie bila nguo
 
Mngeshuka daraja kabisa
 
Ivi arsenal ni lini mtafurahisha mashabiki wenu? Sisi washabiki wa arsenal kila siku huzuni tuh mpk lini? Yaan game ya leo imeniuma kinoma bç tuh. Ivi wachezaji awawezi kucheza kufa na kupona kabisa ? Why? Najuta kuwa shabiki wa arsenal. NAJUTA!
Nyie ni wolves iliyochangamka
 
Timu kama hii ndio ilitaka kwenda kucheza super league ...



yaani ikacheze na

PSG ,buyern ,Madrid,man city ,juventus ,....


Kweli kabisa ,hivi walikuwa serious kweli kuweka na arsenal ??



Kwanza kwa heshima ya jf ,huu Uzi wa arsenal ushushwe huko chini haufai kupigwa pin huku juu na wanaume wa CL ...


Hii timu ni sawa na kina fulham ,wolves na Sheffield..

Kudadeeek
 
Nyie KONDOO si niliwambia kabisa
Haya ni masimango bila chuki, ndo mana Man utd kajpigia zake yule kibonde katulia, ndio maana unayaona haya mamgambo yamehamia huku, hayapo kule yakija yanakuja kwa adabu kabisa co km hivi mnavyofanyiwa nyie kondoo
humu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hv nyie arsengepa, kule super league mlitaka kushiriki kama nani.?

Mana kama mnashindwa kuingia fainali ya kikombe cha kahawa mngeweza kweli kucheza na wanaume wenye London yao Chelsea au hata angalau Real Madrid au Pundamilia mdogo man City.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…