Ufaransa inachukua kombe Giroud kafunga magoli mangapi?Acha kumfananisha Giroud na vitu vya kijinga Giroud anakuwa mfungaji bora Europa ndio sababu ya kuitwa team ya taifa kila gemu anaweka hadi fainali kwanini asicheze ufaransa kutocheza Chelsea ni mahitaji ya kocha kwa wakati huo,mpaka sasa Giroud anayo magoli 6 champions league lakini kayapata group stage ndio mechi alizo cheza ni washambuliaji wangapi walimpita ?jibu ni ni Haland pekeyake ,Narudia Giroud ni mashine
Unaangaika kwingine wakati nyumbani kwako kunaunguaNimeshtuka sasa hivi nimeingia sofascore nimekuta 0-0.
Mzee wangu ni mwanajeshi mstaafu aliwahi kuniambia kwamba anaamini ubora wa mwanajeshi ni katika kutumia silaha ya kawaida aliyonayo ili iwe na madhara kuliko mwenye silaha advanced.
Ilikua tunaongelea jinsi Tz tumeachwa nyuma hata na baadhi ya nchi za Afrika kijeshi.
Nikikumbuka alichosema nikiiangalia Arsenal na Villar nafikiri kilichoipitisha Villar ni uwezo wa kocha zaidi kuliko wachezaji ilionao.
Na hata sisi tulivyofika fainali Europa chini ya Emery ilikua ni uwezo wa kocha zaidi kuliko hata kikosi, kama mnakumbuka Europa ST alikua anapangwa hadi Nketiah na matokeo tunapata. Leo Arteta anakuambia last minute changes na kulazimika kumpanga Tierney ambaye hana mazoezi lilikua ni tatizo lililotunyima ushindi ila huyu Tierney ndiye alishirikiana na Gabriel chini ya Emery tukawa tunafunga watu 5, 4 goli chache 3.
Haya sawa, Xhaka kaumia, kwani Saka hajawahi kucheza LB kwanini asipangwe yeye ambaye yuko fit kumzidi Tierney? In fact Saka kua LB kunakupa gape ya kumpenyeza Martinell kule mbele. Means utakua na watu watatu ambao wanaweza kuscore, Auba, Martinell na Pepe.
So Villar wana kocha mzuri kutuzidi.
Ila kwakua mimi siyo mzuri katika kusema makocha waondoke sina upande juu ya uwepo wa Arteta ni juu yake kuthibitisha kama anastahili kua pale ama la.
Arsenal kuikosa michuano ya Ulaya kwa mara ya kwanza ndani ya karne inatakiwa matokeo yake yaakisi uwepo wa kocha na uwepo wa mmiliki rafiki yake Relief Mirzska
Kwani mkuu unadhani mimi ni rafiki au mnazi wa mmiliki?? Hapana mkuu nisieleweke vibaya. Simpendi kroenke, lakini nakataa kabisa asishushiwe lawama asizostahili.Nimeshtuka sasa hivi nimeingia sofascore nimekuta 0-0.
Mzee wangu ni mwanajeshi mstaafu aliwahi kuniambia kwamba anaamini ubora wa mwanajeshi ni katika kutumia silaha ya kawaida aliyonayo ili iwe na madhara kuliko mwenye silaha advanced.
Ilikua tunaongelea jinsi Tz tumeachwa nyuma hata na baadhi ya nchi za Afrika kijeshi.
Nikikumbuka alichosema nikiiangalia Arsenal na Villar nafikiri kilichoipitisha Villar ni uwezo wa kocha zaidi kuliko wachezaji ilionao.
Na hata sisi tulivyofika fainali Europa chini ya Emery ilikua ni uwezo wa kocha zaidi kuliko hata kikosi, kama mnakumbuka Europa ST alikua anapangwa hadi Nketiah na matokeo tunapata. Leo Arteta anakuambia last minute changes na kulazimika kumpanga Tierney ambaye hana mazoezi lilikua ni tatizo lililotunyima ushindi ila huyu Tierney ndiye alishirikiana na Gabriel chini ya Emery tukawa tunafunga watu 5, 4 goli chache 3.
Haya sawa, Xhaka kaumia, kwani Saka hajawahi kucheza LB kwanini asipangwe yeye ambaye yuko fit kumzidi Tierney? In fact Saka kua LB kunakupa gape ya kumpenyeza Martinell kule mbele. Means utakua na watu watatu ambao wanaweza kuscore, Auba, Martinell na Pepe.
So Villar wana kocha mzuri kutuzidi.
Ila kwakua mimi siyo mzuri katika kusema makocha waondoke sina upande juu ya uwepo wa Arteta ni juu yake kuthibitisha kama anastahili kua pale ama la.
Arsenal kuikosa michuano ya Ulaya kwa mara ya kwanza ndani ya karne inatakiwa matokeo yake yaakisi uwepo wa kocha na uwepo wa mmiliki rafiki yake Relief Mirzska
Ila we mshkaji una shobo si kipole pole.Wavuta bangi wenzako ndio watakuelewa.
Ni kweli ila siachiUnaangaika kwingine wakati nyumbani kwako kunaungua
Huu uzi unatakiwa kushushwa huko chin ..
Mods hizi timu zinazocheza Europa ,hazitakiwa ku pin nyuzi zao huku juu kwa wanaume was CL ..
Hii timu inatakiwa kushuka chini huko
Wewe tatizo lako huchelewi kuandika matusiUtaacha tuu msimu ujao mtakaposhuka daraja.
Arsenal kaanza na 3 4 3 na hakuna muda kacheza 4 3 3. Baada ya 3 4 3 ikaja 4 1 4 1.Mimi mshabiki wa Liver ila ukisikia msiba kwa jirani lazima uende kushirikiana na wafiwa. poleni sana ila kwa ukweli team bado sana jana hata nilikuwa sijui wanacheza mfumo gani, mabeki kivyao, viungo kivyao na mbele kivyao unaona kabisa hakuna game plan ni kama walikuwa wanabahatisha tu. Mimi sidhani kama wachezaji wote wabovu inaweza kuwa wengine viwango vidogo lakini kwanini kocha asicheze 3-4-3 au 3-5-2 ili Lacazete na Aub wacheze mbele nadhani 3-5-2 better kwa wachezaji alionao sio kulazimisha 433 huna viungo wazuri. Mimi namlaumu kocha hii team nadhani Brendan akipewa na uhakika ataibadilisha.
Hakuna prof player anaenda katika game na kusema huyu mgonjwa anaweza kucheza dakika 10. Kama umepass fitness ina maana uko fit 100% hizi team huwezi kupanga mtu hayuko fit anaweza kukosa match fitness lakini sio kuwa 80% fit hapangwi. 343 hao 3 wa mbele ukitoa Pepe na Aub nani mwingine yule Mnorway. yule ni kiungo ningemwelewa kama unavyosema 343 mbele angekuwa Pepe, Aub na Martino. Nadhani tatizo kubwa ni kocha hakuna ID ya team.Arsenal kaanza na 3 4 3 na hakuna muda kacheza 4 3 3. Baada ya 3 4 3 ikaja 4 1 4 1.
Lacazette ni majeruhi medical walisema anaweza kucheza kwa dakika 10 au 15 tu.
Kuhusu hizo dakika 10 au 15 za Laca ni majibu ya kocha. Nimekujibu kwa kuhisi haujamsikia alichosema sasa tena unataka kuanzisha ubishi na mimi utafikiri mimi ndiye nimetoa majibu hii siyo fair.Hakuna prof player anaenda katika game na kusema huyu mgonjwa anaweza kucheza dakika 10. Kama umepass fitness ina maana uko fit 100% hizi team huwezi kupanga mtu hayuko fit anaweza kukosa match fitness lakini sio kuwa 80% fit hapangwi. 343 hao 3 wa mbele ukitoa Pepe na Aub nani mwingine yule Mnorway. yule ni kiungo ningemwelewa kama unavyosema 343 mbele angekuwa Pepe, Aub na Martino. Nadhani tatizo kubwa ni kocha hakuna ID ya team.
Ndio maana nimesema tatizo ni kocha wala sio wachezaji. Nimesikia mara anasingizia Malaria. Kocha hafai watafute mtu anayeweza kujenga team na mfumo wa team ili kila mchezaji ajuwe hivi ndio Arsenal wanacheza.Kuhusu hizo dakika 10 au 15 za Laca ni majibu ya kocha. Nimekujibu kwa kuhisi haujamsikia alichosema sasa tena unataka kuanzisha ubishi na mimi utafikiri mimi ndiye nimetoa majibu hii siyo fair.
Odegaard ni RW/ CAM so ni sawa tu alipopangwa.
Tatizo la arsenal sio kocha ngoja wamfukuze arafu wamlete mwingine bila kuinvest pesa ndio utajua tatizo sio kochaNdio maana nimesema tatizo ni kocha wala sio wachezaji. Nimesikia mara anasingizia Malaria. Kocha hafai watafute mtu anayeweza kujenga team na mfumo wa team ili kila mchezaji ajuwe hivi ndio Arsenal wanacheza.