Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Narudia kukwambia ukiachana na Kroenke Arteta ametumwa kuja kuikandamiza Arsenal kiuthamani na mambo yote yale miaka 26 Arsenal haijawah kukosa nafasi ya kucheza michuano ya ulaya ila kwa Arteta tunaendelea kuhesabu dk
Ndio uwezo wachezaji wetu umeishia hapo msimu ujao hata Europa hatumo,Arteta hajatumwa bali ubahili wa wamiliki unaendelea kutugharimu.

Nashukuru mechi nimeifuatilia livescore na tushukuru Mungu ile super league haipo lakini kama wazo la Perez lingefanikiwa tungechapika mechi zote tena vipigo heavy.
 
Ivi arsenal ni lini mtafurahisha mashabiki wenu? Sisi washabiki wa arsenal kila siku huzuni tuh mpk lini? Yaan game ya leo imeniuma kinoma bç tuh. Ivi wachezaji awawezi kucheza kufa na kupona kabisa ? Why? Najuta kuwa shabiki wa arsenal. NAJUTA!
 
Huko walipotoka mbona walikuwa wana ubora?Torreira Pepe Gabriel Tierney Xhaka Leno Partey hao wote huko walipotoka walikuwa bora sana why wamekuja kufia viwango vyao Arsenal?
WALIKUWA WAPI BHANAA..ACHENI KUDANGANYANA, NUNUENI WORLD CLASS PLAYERS. ACHANENI NA WATOTO WA FORM FOUR HAO.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Partey Huyu mliyekuwa mnamsifia au tusubiri mwingine anakuja

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Maisha yanaenda kasi sana yaan mwez wa 8 mwaka jana kwenye hilihili jukwaa tuliambiwa Partey ndo anakuja kukatamzizi wa fitna leo napita hapa Partey yuleyule anaonekana c chochote c lolote??
 
Nakuelewa sana bro
 
Ivi arsenal ni lini mtafurahisha mashabiki wenu? Sisi washabiki wa arsenal kila siku huzuni tuh mpk lini? Yaan game ya leo imeniuma kinoma bç tuh. Ivi wachezaji awawezi kucheza kufa na kupona kabisa ? Why? Najuta kuwa shabiki wa arsenal. NAJUTA!
MKUU USILIE, TUTAKUSAIDIA KUKUPIGIA MWANAUME WAKO HUYU KWENYE FAINALI NA KOMBE TUTABEBA. NADHANI UTAFURAHI SANA KOMBE KUBAKI UINGEREZA.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…