Ubora ktk level ipi kaka? Pili haya hao unao waita bora wakiumia kuna akina nani mbadala? Leno aliumia tukampanga yule dogo matokeo yake tukala nne,huku akiruhusu goli la kizembe alilo fungwa na Mahrez,Tierney nae huyo aliumia mbadala wake nani?
Kama Kroenke hasipo acha ubahili tukitumia mawazo yako sisi kila siku tutakuwa tunawapa lawama makocha na kuwatimua ambacho mimi sikubaliani nacho.