Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Na game iliyopita mchezaji wa Villarreal alianguka kama hivi.

Anyway, kama Chukwueze anatoka kwakweli atoke tu.
 
Kucheza timu ya taifa sio kwamba wana kiwango bora bali ndio machaguo walio nayo kwa mda huo na hawana jinsi timu ya taifa sio club.
 
Nimesema hao wanachezea timu za taifa ambazo duniani zipo top 50 hvyo sio wachezaji wa kitoto
Kuwa top 50 si kigezo je ukiwapima mmoja mmoja wana ubora,manake unacho maanisha sababu Ufaransa walichukua kombe la dunia basi timu nzima wachezaji wote ni bora including Giroud,Ureno imechukua Euro mwaka juzi haimanishi wachezaji wote ni bora.
 
Well said, mkuu una akili kubwa sana..


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kuwa top 50 si kigezo je ukiwapima mmoja mmoja wana ubora,manake unacho maanisha sababu Ufaransa walichukua kombe la dunia basi timu nzima wachezaji wote ni bora including Giroud,Ureno imechukua Euro haimanishi wachezaji wote ni bora.
Huko walipotoka mbona walikuwa wana ubora?Torreira Pepe Gabriel Tierney Xhaka Leno Partey hao wote huko walipotoka walikuwa bora sana why wamekuja kufia viwango vyao Arsenal?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…