Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal's first 4 fixtures for Super league:

Arsenal VS Juventus
Arsenal VS Real Madrid
Arsenal VS Barcelona
Arsenal VS Inter Milan
 
Na bado, mpaka maji mtaita mma. Alafu nasikia mmejipendekeza wenyewe kwenye Super league
Kipindi cha Wenger tukipoteza mechi kama hii watu walisema Mzee anabet, sasa huyu sijui ndio anagamble au ana Mrisho Gambo, anaudhi sana huyu jamaa
 
Kwani kilichowakuta BAKU mlikuwa kwenye bad day au mlizidiwa kisoka?
 
Mashabiki wamepanga kuandamana kushinikiza #kroenke out.

Mashabiki wameuliza na kujibiwa maswali na Josh, mtoto wa Stan.

 
Matchday vs Everton.

Hii ni second leg. First leg Everton alitupiga 2 kwa 1. Katika hiyo game kila mmoja angeweza kushinda ila Everton aliondoka na ushindi.

Leo tunaingia huku tukiwa na majeruhi Alex, Pierre, Martin, Kieran na David. Wengine hapo ni hawawezi kucheza wakati baadhi wanaangaliwa kama wataweza kuwepo kikosini.

Carlo ni kocha mzuri, ameprove mara nyingi uzoefu wake ni silaha, kafanya hivyo kwa Liva na kafanya hivyo kwa United kisha akafanya hivyo kwetu so ni game tight kimtindo ukizingatia kocha ana kazi ya kuwalinda wachezaji wetu kwaajili ya Alhamisi.

First XI nafikiri itakua vyema beki ikimjumuisha Cedric ili mashambulizi yaanzie nyuma na awepo beki anayeweza kuoverlap ili kutanua uwanja. Game iliyopita Elneny hakua mwiba sana nadhani leo anaweza asianze hivyo awepo Dani na Partey katikati au Granit na Partey.

Forward iwe na Pepe, Saka, Emile na Martinell.

Tukutane saa nne.
 

Injuries tulizonazo ni nyingi. Especially attackers, sijui itakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…