Siyo tunaanza ugenini?
Either way sioni kama tunatakiwa kupaki basi, mbili bila siyo ishu ngumu kuzipindua. Spurs alimpiga Dinamo mbili bila second leg akafa tatu bila.
So tucheze mpira wetu. Tusipaki basi, timu imeimprove katika defence tofauti na alivyoiacha Unai, Unai anaamini 1-0 siyo ushindi ila anaamini 3-2 ni ushindi naamini timu yake itafocus kuscore kuliko kulinda.
Game za ligi ni morale booster tunazohitaji kwa sasa.